Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

upo mkuu sio mzuri ndo maaana hajaupigia promo unaitwa nakupenda ukiachana na bumbum mwezi mmoja nyimbo nne 1.mapenzi pesa 2.nana 3.nakupenda 4.na huo mpya wa leo KING KIBAAA utawafanya watu waimbe hadi hiphop

Mweeeh kumbeeee!!
Mwaka huu bado ataomba collabo hadi ya mdundiko, Kiba anampelekesha jamaa hatari, alafu ye King karelaxxxxxx walaaa hana papara
 
halafu we msengerema usiniite mimi phir sawa huku ni kwa kiba niache niandike kitu kinachonifurahisha nyambafuu hilo tangazo lako la wimbo mpya peleka kulee kwa domo sawa pop it yooooooooo kiba2

:sly::sly::sly::sly:
 
Hii trick yenu tumeshaijua zamaaaani.Mnavujisha wimbo halafu mnaangalia muitikio ukoje...
Kama nasema nawe vile..
Hahahahaa.

Mbona na nyi mliiga na kuvujisha 2 baada ya Mwana watu wakazitia kapuni low standard haha
 
Mbona na nyi mliiga na kuvujisha 2 baada ya Mwana watu wakazitia kapuni low standard haha

Hahahahaaa, ila kuwa tu mkweli...Nyie mmezidi.
Tena mkishajua watu wameiponda mnarekebisha kama nasema nawe ikabidi bibie Khadija atafute ili wimbo unoge kidogo.
 
Hii trick yenu tumeshaijua zamaaaani.Mnavujisha wimbo halafu mnaangalia muitikio ukoje...
Kama nasema nawe vile..
Hahahahaa.
nasema hivi mkuu huyu mtoto angekuwa wa diomond na misifa aliyonayo sijui ingekuaje sema hamna haja ya DNA point yangu ni kwamba domo asipobadilika atamfuata mr nice rombo wakanywe wote mbege
 

Attachments

  • 1434459388856.jpg
    1434459388856.jpg
    14.6 KB · Views: 85
Hahahahaaa, ila kuwa tu mkweli...Nyie mmezidi.
Tena mkishajua watu wameiponda mnarekebisha kama nasema nawe ikabidi bibie Khadija atafute ili wimbo unoge kidogo.

Huo ni ujanja wa Diamond na hua unakua na mafanikio sana" mshaurini mtu wenu nae azidi kutumia dat trick.. unavujisha alaf unasikilizia kiupepo haha. Hata Ukimuona ilivuja thn ikawa boonge la hit EastAfrica nzima. Ndio fav song ya wakenya kwa mondi
 
:sly::sly::sly::sly:

for sure njia anazotumia domo kuwa kwenye ramani ya mziki ni tofauti na wasanii wote wa sasa na wa zamani kwa mfano anatumia sana skendo hasa za wanawake kuhit hivi mkuu nikuulize Rich mavoko Belle9 omy dimpoz hawana mademu ? point domo asipoacha sifa atamfuata Mr nice rombo
 
Yaani kawimbo katamuuuu hakoo, acha tu nimpende(simshabikii tu) King Kiba

Sista unazidi ule wa wife wa dunia? huu wimbo kwangu ni shiidaaa!! can't wait to see its video

cc nifah
 
Last edited by a moderator:
Sista unazidi ule wa wife wa dunia? huu wimbo kwangu ni shiidaaa!! can't wait to see its video

cc nifah

Jamani ulikua wapi best? Nina siku tatu sijakuona humu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani ulikua wapi best? Nina siku tatu sijakuona humu.

Nilibanwa banwa hapo kati best, nikawa nachungulia tu na kukimbia, nilikuchungulia kidogo kwenye ule uzi wako wa awards za Kili kuna mahali nilikusoma khaaa kidogo nijitokeze kwani kidogo uzalendo unishinde kwa ile comment yako, manake nilicheka mpaka nikatamani nikustue!! sema sasa ndo nilikuwa hi hi nikakimbia

Unakumbuka ulisemaje kuhusu kwanini Fetty ametulia sehemu moja hazunguki zunguki??? aaaaaah we best weweee loh!!!
 
Hey!.."MY FAVOURITE STRONGESTEAMKIBA ALL TOGETHER",vip mko poa jamani?

Tuko poa, hatuna habareeee.
Zetu kazi wao mapovu.Tuko kwenye campaign ya kuwapigia kura akina Davido, Vanessa, Mr. Flavour na Wizkid.
 
Alafu Jana kuna thread nilipost ya huyu KING WETU ila mods wamenijulisha unafanana na huu hivyo wameiondoa,je wameuattach humu?
 
Back
Top Bottom