Ali Kiba Fans' Special Thread...

ha ha ha ha umeua

Wa intaneshino hana haja walaa na hizo tuzo zenu za local ndio maana hata hizo mbili mlizojipendekeza kumpa walaaa hajashukuru, dogo ana nyodo yule khaaaaaa!! Viranga viwaishe, sasa si ahame nchi.
 
Wa intaneshino hana haja walaa na hizo tuzo zenu za local ndio maana hata hizo mbili mlizojipendekeza kumpa walaaa hajashukuru, dogo ana nyodo yule khaaaaaa!! Viranga viwaishe, sasa si ahame nchi.

aha ha ha ha jaman hahahh duh
 
ahahahahah hapo kwenye bold hahahahahahahahah asante nashukuru nimekaribia

Karibu sana mpenzi kwenye ulimwengu wa local,wizi,umasikini na uchawi na mabingwa wa outlook mbovu, uwiiii hebu niende tena kwenye kioo labda nitakuwa nimerekebishika kidogo now.
 
Hahahaaaa!! Nyokolo yule sijui tunakula kwake!!! Ye walet imejaa ila masikini Kiba anamhenyesha hatari, tatizo ashazoea maisha ya geto huyo mr getoman anadhani wote vimeo kama yeye.

hahahaaaa yaani watu wanafurahisha sana......now wamehamia kwenye outlook na wallet duuh kazi wanayo!
 
Jamani wapi kende aka kendrick au yupo south anasonga ugali. Au kafuata njiwa nanjilinji
 
Mimi nimeamuwa kuwa msomaji tu na kucheka tu.

Hahahaaaa!! We soma tu ila usisahau vanessa anahitaji kura yako, huku sie tunaendelea kucheketua tuuuu, kiuno kinaniuma now, ngoja nijikumbushe lile dance la mwana
 
Jamani wapi kende aka kendrick au yupo south anasonga ugali. Au kafuata njiwa nanjilinji

Na ule ugali haki ya nani sidhani kama uliiva, @ms.Lincolin alimgonga na ungo huko angani now anaugulia maumivu tu
 
Ile link yao ya KTM ya Le mtumboz na matumbo wameishia wapi? Maana bado wapo ndotoni wamepigwa hat trick, msomeni Ostaz Juma facebook muweke hapa screenshort.

Jamani mliopo fb plz do the needfull, wale wanaugulia tu hukoo, watupishe tucheketue sie
 
sasa mkuu kwa vigezo vyote ulivyovitaja hapo hakuna hata kigezo kimoja domo anachomshinda davido au wizkidayo kwa hiyo wawape tu hao wangetumia vigezo hivyo hata domo asingekuwa nominoted kwenye MTV awards
 
Teh teh teh, wenzio wanaona maborit ya kwenye macho ya wenzao tuuuuuuuuu!!
 
mwambie domo akamuombe msamaha davido la sivyo atarudi tandale akaokote makopo kiba mziki ukimshinda ataenda AZAM SIMBA AU TP MAZEMBE mana anajua mpira kuliko kuimba PAPIREEEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…