Mbona unamkalia nifah kooni?
Stop being too personal, its bad for your health.
Mimi nawewe ni mashabiki tu.
Mnakazana sisi tunamchukia dai kisa sio mashabiki zake.
Sisi wachawi, maskini, hatuna akili wapuuzi, wajinga, sio wazalendo na ni wa kupigwa na kila tusi weka hapo....
Ila guess what!, HATUBADILIKI !
B boy hufanya hvyo kila mwaka sio tu 2014
Cha ajabu mwaka huu ndio mumemshikia bango
Vipi kuhusu miaka iliyopita waliochukua utunzi bora mbele yake walistahili?
Yatawatoka sanaaaaaaaa mwaka huuu na bado!!! Tuzo za Kiba zitawatoa roho mnooooo, mtunzi bora haimaanishi umetunga nyimbo nyingi, waweza tunga nyimbo 100 ila wa Kiba mmoja tu ukafunika nyimbo zako zoooote, so nyie mtapetape weeee ila ukweli hata mioyo yenu inajua mwajifanya kupinga tu!! Kiba is the best(ni watanzania waliosema) sasa kama wewe sio mtanzania bishaaaaaaa!!a teh teh teh, rahaaaaaa
Mwaka huu tu ndio Barnaba Boy anaonekana mtunzi bora kisa kachukua Ally K kule nyuma utunzi wake haukua na maana duh wabongo sisi pasua kichwa na tunawahi kusahau.
Shoga naona na wew umekuja kuwapa maembe mabichi. nifah na Ms.Lincoln tangu juzi hawawapumzishi wenzao ni dozi tuu zinatembea.
Wewe mdada umetisha, sio kwa kampeni hii kwakweli!
Shoga naona na wew umekuja kuwapa maembe mabichi. nifah na Ms.Lincoln tangu juzi hawawapumzishi wenzao ni dozi tuu zinatembea.
Yaani tungetobolewa vidole machoni.
Ndo maana mamy nawachokoza sana leo.
Umeona na mimi avatar yangu?
Waaaoh nimeiona mama, unajua mie celebrity naingiaga mara chache mnoo na kilichoniletaga ni Kiba, jana nimeingia kidogo tu nikakutana na rundo la nyuzi zote zikiongelea tuzo za kiba akuu nikajipitia nikaondoka nilifungua cjui mbili tu, sijakwenda huko tena, Kiba kweli kawashika watu pabaya.
Mtunzi bora ni Yule anayetunga nyimbo zanye ubora na tamu. B boy kafanya hivyo 2014
Mamy vote for davido plz tuhakikishe domo haambulii kitu
Wanajitoa ufahamu mnoo, hii mitoto ilojua mziki juzi hata hawajui nini mama ya "mtunzi bora" wanadhani mtunzi bora ni yule anayetunga nyimbo rundo!!! Ovyooooo!
Hahahaaaaa!!! Jamani wa intaneshino mnataka hawara yake ajifungue kabla ya siku!!
Na outlook yako mbovu umoooo tuuu!!!!
Na wallet yako haisomi umekomaa tuuu!!! heheh (in mr gentomanz vois)
mamy mimi ni fan wa ally k sana tu tokea Enzi za njiwa had leo hii chekecha
Yani ningechonga mask kuficha hii outlook yangu mbovu!
Chezea outlook na cheo cha uchawi weweee!
Naomba mnivike cheo chaumakia wa uchawi maana sio kwa kuwanga hukuuu kaaa!
Kama sisi wabaya yule kimada wa salehe ana sura gani?
Mxiiiu