Kwa hapo walaaaa hawaoni wanaona ya kiba tu, ujue mie siwaelewi hao team nyodo wanayolalamikia ndio wanayofanya, au nfio ile kunya anye kuku!
Badala ya kwenda kunya barabarani wanajinyea wenyewe, Kibaaaaa waumize baba
ndo wamekariri hao. wanataka wapate wao. zamu yetu sasa #kingkiba
Jamani huku nitakuja baadae ngoja niende instagram kwanzaaa.
Ila hongereni kwa kazi nzito na nzuri tuliyoifanya.
Trust me wangepata wengine walaaa wasingeona km kuna tatizo, shida inakuja kwakuwa kapata King, walipozizoa zote hawakuwaona akina Barnaba na Belle 9?? Wakati ndomo kwa Barnaba,Belle 9,Mavoko,Jux n.k hanusi hataaa kidogo, sema tu he is strategic thats it, mbona hakurudisha tuzo hata moja akaseme hii ilimfaa mavoko? Kapata Kiba watu mapovuuuuuu, nyokolo zao.

Kwani wanalalamika nn tena? Wao si intaneshino jamani, hizi local kwani si walisema hawazitaki? Au ndio aliona dalili ya mvuaa?? Yaaani nacheka cheeeka mwenyewe tu, King tusonge mbele nyuma mwiko and noo majivuno
Ms.Lincoln utabiri umetimia, as usuaaaal akuuuu sie twacheketua tuuu kwa raha zetu kwa taabu zao
yani domo kila kitu et anaonelewa mara oh wanataka wamshushe sasa kwa lipi hasa ila bum bum mkuuu hapanaaa mi ckubaliani nayo aisee bora nasema nawe kuliko ile
Kuna yule jamaa alisema Kiba akizizoa tuzo atakunya mafungu mafungu sijui kuanzia wapi mpaka wapi, cjui nimtafute nimsaidie maana najua ma-vi yatakuwa yamemuisha now
ila tuzo za mwakani diamond atakuwa pamoja na mzee yusuph na mashauz kwenye category ya taarab anaweza akachukua hahahaha KIBA 4really
Hahahaa naona waliiipenda ile lipshine aliyopaka ndomo kwenye video.
Woyooo
Ama speechless you know!
Wivu tu na roho mbaya ndio tatizo lao.
Trust me wangepata wengine walaaa wasingeona km kuna tatizo, shida inakuja kwakuwa kapata King, walipozizoa zote hawakuwaona akina Barnaba na Belle 9?? Wakati ndomo kwa Barnaba,Belle 9,Mavoko,Jux n.k hanusi hataaa kidogo, sema tu he is strategic thats it, mbona hakurudisha tuzo hata moja akaseme hii ilimfaa mavoko? Kapata Kiba watu mapovuuuuuu, nyokolo zao.
Amelazwa
Alishazirai muda mrefuuu
Umeona eee...na video bora ya mwaka ujao ni Cheketua ambayo ishakwivaa!
Natabiri dhoruba kaliii na kujinyonga kwa baadhi ya mashabiki wa team ndomo.
Wengine watajikamulia limao machoni ioi wasiione maana ni balaah!
Watachambia pilipili ila haitasaidia..
K 4 real..