Ali Kiba Fans' Special Thread...


Hahaha m mwenyewe nimeshangaa hii habari ina mda sana ilisha chacha na hii video kwa masikitiko makubsa haikuweka kudumu kwenye airtime ya hizo tv stations. Wala kuingia kwenye chart yoyote ile maskini. Kwa taarifa tu mtanzania au mEast africa wakwanza kukaa #1 trace ni Diamond Plutnumz na alidumu kwa wiki3. Then Ntampata wapi nayo ikaingia cna uhakika sana na Mdogomdogo.
 

Walikua hawana taarifa kama habari imeeksipaya sasa nimeshawapasha habare ha haa haaa
 
Halafu kuna sehemu nimewaona wanalialia nikawaacha tu.

Ata mimi nimewaona mamy ila nilichogundua wanajua kabisa wakianzisha uzi wa kumponda kiba watapata comment nyingi sasa imekula kwao ata niitwe mle siendiiii
 
Hongera zake, Ila sijawahi kuwa mshabiki wa Alikiba. Huwa hana kitu chochote cha kunishtua hasa katika muziki, Hapa nazungumzia sauti yake (siipendi kwa kweli), kucheza kwake na swaggerz ila as long as anamashabiki wake, Good for him and his fans. Ila a guy is mcute jamani lol!
 

Muda huu wa kuandika upumbavu hapa ungeutumia kwenye kilimo cha kufa na kupona ungeshajiondoa kwenye kundi la malofa.
 
Hahah noma sna tunajua habari za msanii wao kulko wao mashabiki wakereketwa. We lov tz music 4real

+Yeah team mond team akili kubwa hatuna kwere na msanii underground yoyote akitusua kimataifa japo kwa wiki 1 tunampongeza.

+nyie mnaosema fotoshop msituabishe , ilipigwaga buana japo ilipigwaga haikudumu hata wiki 2 lakini ilipigwagaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…