Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahahaaaaa umeona kichaa chake kimeanza upya eeeh....
Yaani huyo funza ni wa kumwacha tuu.

sawa mkuu mbona uzi wao upo wanatuchafia huku c wakajadili kule na wazungu na msanii wao wa kimataifa
 
sawa mkuu mbona uzi wao upo wanatuchafia huku c wakajadili kule na wazungu na msanii wao wa kimataifa

Uzi wao umechacha hawana jipya wanakimbilia huku kutafuta kiki na sisi...si unajua sisi ni le royal family sasa wanamwiga bosi wao kuja kutafuta kiki kwetu ili apate skendo
 
Wewe naona umepaniki bure ukome kuniita beach kuwa mstaarabu and grow up.
Hayo maswali kaulize huko siyahitaji mimi. Roho zingine za ajabu kweli kweli.
Haya usipaniki mwishowe ukanivulia nguo bure. Sitakuacha.
lol lol.. Hujui maana ya beach girl?
hebu waulize wanawakwe wenzio wa Arusha maana ya beach kwanza, halafu uliza girl, then connect beach girl..
Ualimu ni kazi kwa kweli..
 
Haya usipaniki mwishowe ukanivulia nguo bure. Sitakuacha.
lol lol.. Hujui maana ya beach girl?
hebu waulize wanawakwe wenzio wa Arusha maana ya beach kwanza, halafu uliza girl, then connect beach girl..
Ualimu ni kazi kwa kweli..

Nisipaniki kwa lipi labda ulilonalo. Wapo wa kuvulia nguo lakini sio wewe huku jf huna hadhi hyo hata robo.
Hayo ya beach hayanihusu in short nikome kuniita hvo Waite vinuka k wa huko ulikozoeana nao.
Niwaulize wanawake gani wa Arusha maana hata sipajui acha kuhisi upuuzi hii ni Jf comment kulingana na topic.
Yani unaongea mambo mengi yasiyo husu topic. Tena unikome kabisa mazoea ya kijinga na wewe JF sitaki kabisa kuniita hlo neno mxiiiiiiiiiiiieww.
 
Dr. Reginald Mengi amepewa tuzo na wenye akili pale mlimani. Diamond ndani, usicomment kama huna degree tafadhali.
 
Ashukuriwe Diamond kwa kumwamsha usingizini Ally Kiba...

Al the best katika show zake, ana sauti nzuri sana hiyo ni moja ya asset zake. Twasubiri mipicha

Upo sahihi, maana hili bila kulisukuma haliwezi fanya kitu. Wamemkurupua kama fungo kwenye mapumziko yake akitoa shibe.
 
sawa mkuu mbona uzi wao upo wanatuchafia huku c wakajadili kule na wazungu na msanii wao wa kimataifa

Wana ugonjwa wa kutojiamini, tuwasamehe tu, ni kawaida yao na viherehere km mke wa balozi, waliuanzisha kwa mbwembwe kweli ila hawaishi kujivua nguo huku, tushawazoea ni wa kuangalia tu!! They learned from the best.
 

Eti wakati wake umeisha!!! Nani kasema?? Na km wakati wake umeisha kwann watumie nguvu? Kwann awaumize? Wamuache afanye yake kwa nafasi yake, kelele za chura tuu hizo
 
Nimejifunza kitu
Over


Sasa na wewe umefanya nini huoni ndo umeharibu. Huu Uzi wa kiba unaleta mambo ya domo huoni kuwa ndo umeharibu.

Diamond platinumz icon wa Tanzania

Wanajitutumuuua, ila ndo vileee hatuachi kumsupport.
 
sorry......... sorry for making you upset....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ