We mchaga wa wapi ww? kishumundu nini?
We mchaga wa wapi ww? kishumundu nini?
Muongeleeni kiba kama kiba ila munapoharibu kumfananisha na DIAMOND hapo ndo munapoharibu wakati hata kiba mwenyewe alishawahi kukubari kuwa DIAMOND yupo juu zaidi yake "hongera yake DIAMOND kwa kuwa na mandeleo ambayo mimi yananishinda kwa sababu ya kukosa menejiment"-by KIBA sasa wewe unayejifanya shabiki yake usiyeweza kumsifia huyo kiba wako bila kumtaja DIAMOND kwa lipi wakati hata unayemshabikia anajua DIAMOND yuko juu
Haha ahaaahaaaa mamy umetisha yaaniiiiii kinoumerrr.... yaan wew ukilala ukiamka unamwaza kiba wapambe wanaonaje wivu...
Hizo ni kelele za chura tu, yaani kiba hawakauki midomoni as if ndiye mwanamuziki pekee tz, alafu wamekazanaaa eti local, sasa km washajua ni local why the energy??? Waimbe na wao basi wawe intaneshino, nyambaaaaafu!!
Hahahahahahah jamani sio vizuri kuna mtu anajitutumua ila watu hawana habari hahahhahaha. Mwoneeni huruma jamani walau mumquote. Hahahhhaha
Akanye ajitawaze na maji ya betri..
Unajua mtu ukimshamjulia hakupi tabu.
Si unaona kafyata mkia
Pyeeeee
Akafie mbeleee
Icon wa Tanzania Diamond Platinumz
oyaa diamond si ana uzi wake kule nenda kakoment huku kwa kiba unataka nn tutakugeuza "PRINCESS"
Jaman team kiba naomba matokeo ya tuzo ya icon ilikuwa inatolewa n chuo kikuu cha dar es salaam plz jaman maana kiba alikuwa anashiriki n kura zilikuwa zinapigwa zaidi ya Mara moja
oyaa diamond si ana uzi wake kule nenda kakoment huku kwa kiba unataka nn tutakugeuza "PRINCESS"
Akanye ajitawaze na maji ya betri..
Unajua mtu ukimshamjulia hakupi tabu.
Si unaona kafyata mkia
tutakuchekecha wewe kedrick huku ni kwa kiba sio kwa domo
Huyo usimjibu ni mgonjwa wa akili yupo kwenye dozi mkuu.
Hahahahahahah jamani sio vizuri kuna mtu anajitutumua ila watu hawana habari hahahhahaha. Mwoneeni huruma jamani walau mumquote. Hahahhhaha
Huyo usimjibu ni mgonjwa wa akili yupo kwenye dozi mkuu.
sawa mkuuu nilikuwa sijui