Eeish, hebu acha hizo bwana, unataka kuniuzia kesi?
Ile siku niliona lakini kwakua nilijua sio kweli ndio maana nilikaa kimya.
Wewe uko busy utamuona saa ngapi?
Tulia sehem usikilize tena utauelewa tu utajikuta mwenyewe unachezea Sankolo Sankoloo. We ni mmoja kati ya watu 10 ambao hujaelewa according to my statistics
Na kweli maana mimacho imewatokaaaa! Sijui washambeba Viol wangu maana nae kaadimika kweli
Hahahahaaa nimechekaje? Hapana bwana mbona jana tulionana nae sehemu huku jukwaani?
Muulize Diva Beyonce tulikua nae.Ila kapotea kidogo haonekani sana.
Aaaahh wapi mwimbo kama una mashiko ukisikia hata kwa mbali tu, utataka uutafute but huu nimejaribu kusikiliza mara kadhaa bila kubebwa na hisia za ushabiki but hapana hapana bora hata nataka kulewa dah, mondi utabebwa na video tu, angetulia kwanza badala ya kukimbilia kutoa hit kila siku ambazo hazidumu

Nipo sana huwa naona uvivu kucoment ila nasoma sana
Mi shabiki wa kiba wa ukweli ila naomba kuwa muwazi kwa hili: Ally Kiba anazingua angekuwa anajitmbua angekuwa mbali sanaaaaaa...zaidi ya domo Diamond kipesa na kila kitu kwa kifupi angekuwa kama PSquare maana Mfalme R kelly alishamfungulia njia ambayo ilikuwa kuiendeleza ktk One8 Wasanii wa Africa kufanya kazi na R kelly, lakini Ally kiba kabweteka na sifa za mashabiki wa nyumba badala ya kuvuka maboda ya Africa anakalia kusubili Zari lingine kama litajirudia, Menejiment yako haifikirii wala kumshauri vizuri, Alie karibu nae amfikishie ujumbe huu amwambie asipoamka na kujipanga upya ye na menejiment yake wataishia hapa hapa nyumbani wakati domo asie na lolote mbele ya kiba akipiga mkwanja mnene nakuzidi kuvuka maboda kila kukicha.
Mmmh!! Huo uvivu ghafula ghafula umetoka wapi tenaaaa!! Kura unapiga lakini?
Nina option ya online tu na inagoma
Why uwe na option ya online tu? Vote through phone pia
Kizuri kizuri tu adi sahvi its 4hours tangie video iwe uploaded on youtube viewers elfu4 xo evey 1hours elfu1 hiv unafikiri ni msanii wa kawaida huyo" diamond hz de baddest in Africa
'Nitampata wapi' alifanya collabo na nani vilee...!
...naomba nikumbushe mkuu!
Jamani ni masikio yangu au???? Mbona mwimbo wa mondi siufeel masikioni??? Ila video kajitahidi. Inabidi atoe kolabo na davido aisee mana anapotea tu
Kizuri kizuri tu adi sahvi its 4hours tangie video iwe uploaded on youtube viewers elfu4 xo evey 1hours elfu1 hiv unafikiri ni msanii wa kawaida huyo" diamond hz de baddest in Africa
duuh babu ume wakalia kooni kiroho mbaya waache wapumue wata elewa tu kama RONALDO!
vigezo vyote ulivyotoa ni kweli kabisa ila kwa upande wa nyimbo kali hapana diamond anafunika mkuu