Ali Kiba Fans' Special Thread...

ni ukweli usiopingika kuwa kiba yupo juu na ataendelea kuwa juu daima kwa kuwa ana vigezo vyote vinavyomtaka msanii hawe juu navyo ni hivi,NIDHAMU YA MZIKI.ANAJITUMA SANA,HANA MARINGO,HAJISIKII NA KUDHARAU WATU,ANA NYIMBO KALI SANA,HANA MASIKENDO SIKENDO KAMA FULANI, HABADILISHI WANAWAKE OVYO KAMA FULANI,HAJICHETUI KAMA FULANI, kwa vigezo hivi K 4 REAL ataendelea kuwa juu
 
vigezo vyote ulivyotoa ni kweli kabisa ila kwa upande wa nyimbo kali hapana diamond anafunika mkuu
 
una uwezo mdogo sana wa kuwaza na zile hadithi zako za ukimuangalia sana simba usoni anaona aibu!
 
mkuu hivi kweli masongi kama mwana dsm na cheketua unaweza kulinganisha na mataarabu ?
taarabu kaimba wimbo moja tu, zingine zote kwa upande wangu ni noooma, lakini kila mtu ni vile anavyofeel kwa upande wangu wimbo wa kiba niliotokea kuupenda na nitaendelea kuupenda milele ni dushelele pekeyake hizo zingine hazijanigusa hata kidogo
 
Naona kama mtoa mada ana mpnz sana na kiba Haya ndio madhara ya team fulan.
 
taarabu kaimba wimbo moja tu, zingine zote kwa upande wangu ni noooma, lakini kila mtu ni vile anavyofeel kwa upande wangu wimbo wa kiba niliotokea kuupenda na nitaendelea kuupenda milele ni dushelele pekeyake hizo zingine hazijanigusa hata kidogo

baada ya kukosa colabo kama ya davido akaamua kuimba taarabu,noma sana
 
Usemayo ni kweli.....ila Diamond anajua aseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…