Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Kiukweli Le Mutuz mtu wa ajabu sana.Hata hivyo tumuache tu maana alishasema hakuna wa kumbadilisha.
Hivi ulishaona caption zake za usiku kabla hajalala...
Eti kiss ni MUAHAAAAA! Uwiiiiii jamani nachekaga aje sasa?
Hahaaaa kuvuka stage aisee huyu nilishampuuzia tu. Na kujitoa ufahamu kume mnyima fursa kubwa abakie huko insta kujibizana na watoto wa o level ndo anaweza.
Umeona wapi nimetoa kauli kuwa simpendi kiba.?
Eti kabla hajalala hua anapiga selfie na akiamka anapiga pia.
Anakuambia ukitaka kujua wewe ni mzuri au mbaya ukiamka tu piga selfie!
Mhhhhh, ni shida kwa umri ule.
Hata mie japo npo kwa diamond kani inspire kutia mimba mademu n kukacha 😀😀 safi sn no scandal n mfano bora kwa jamii n mwendo wa kutia mimba tu
Hafu huyo apololo kumbe ni muuza njiwa hapa mjini nadhani ni wa kumpuuza tu. Life gumu linamsumbua hapo kanunuliwa bundle.
Anauza mijusi, mayai ya kenge na samaki pori.
Ila too bad ana roho ya kichawi hana wateja kabisaaaa
Umekaa kimajungu majungu....
Ila hater kama nyie ndio mnatutia moyo
Sijui walitaka Kiba abakie yupo yupo tu ndo roho zao ziridhike.
Matendo yako na maneno yako na jitihada zako za kuponda kila kitu anachofanya Kiba!
Haya kiba si lolote si chochote, ondoka kwendraaa....
Bilashi hata kwenye maisha yako binafsi una roho ya korosho.
Ndio maana biashara ya samaki ilikufa!
Hahahahaha shoga hiyo biashara ya samaki ilikuwaje?
Huyu nae alikua na biashara kumbe? Basi alijitahidi sio sawa na wanaume suruali wanaoshinda JF na sisi watoto wa kike.
Hahahaaaa! Hiyo kauli yako hapo mwisho nimeipenda haswaaaaa, yaani humu wanaume wachache sanaaaaa kutwaa wanashinda kuponda maendeleo ya mwanaume mwenzao alafu wakichapiwa wanakuja kulalama eti wanawake wasaliti!!! Ptuuuuuu
Wakuu nimeshampigia kingKiba kura katika category zote 7, kwa njia ya sms.
Bado najitahidi nitumie na simu nyingine nipige kura zaidi, nawasihi fans wote wa Kiba tuhakikishe tunapiga kura, tupende kwa vitendo jamani.
Hahahahaha shoga hiyo biashara ya samaki ilikuwaje?
Huyu nae alikua na biashara kumbe? Basi alijitahidi sio sawa na wanaume suruali wanaoshinda JF na sisi watoto wa kike.
http://goo.gl/forms/qU7mi5yJgn link hiyo apo tupige kura sasa atoto Diva Beyonce Avemaria nifah Ms.Lincoln
Du....😱
http://goo.gl/forms/qU7mi5yJgn linki hiyo mkuu piga na hapaWakuu nimeshampigia kingKiba kura katika category zote 7, kwa njia ya sms.
Bado najitahidi nitumie na simu nyingine nipige kura zaidi, nawasihi fans wote wa Kiba tuhakikishe tunapiga kura, tupende kwa vitendo jamani.
Tayari kwa e-mail ya kwanza.
Naenda tena