Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hivi wewe mbwa koko asokwenu na usojua vibaya humu unatafuta nn?? Sikiliza binti mm sio lesbian mwenzio, katafute haramu wenzio hukoooo, mbweha wewe!! Tena ukome kunishobokea, huo uchafu wako peleka hukooo kwa wendawazimu wenzio.

Kuna wanawake wa ajabu sana jf, mpaka huwa nashangaa wametoka kisiwa gani!
Wanaleta ujinga ujinga afu wakitiwa madole kama ivi wanafungua uzi ooh kuna watu wababe...tia ndole tu ndo dawa yao.
 
Madole ya nini sasa wakati marungu ya kuosha yapo?
 
Jamani yu wapi yule aliyesema domo anavaa vitu orijinoo? Hahahah shame on u, cheki alivyoumbuliwa
 
Attachments

  • 1432464472276.jpg
    1432464472276.jpg
    74.4 KB · Views: 84
H baba n yamoto walipelekwa n helcopta uwanjani au pyeeee kiba cjui atapanda lini ya kumpeleka kwny shoo

Kweli ushamba gunia misumari, kwa hiyo helcopter ndo unaona issue? Hizo hata kwenye maafa zaenda, hahahahhaha poleni sana
 
Sold out upo na ukihitaji namba mpya ya what's app kupigia kura Kili omba nikupe

Eti sold out, watu wapo kwenye majani hapo chini tu na hawajazunguka viti vyote uwanjani unasema sold out??? Hahahah na isitoshe shoo ilikuwa ina wasanii kibao mnafanya kama ya domo peke yake hahahahaha!!! Poleni sana kwa kupelekeshwa na tuzo
 
Aiseee we kweli Kilaza kwenu n kigoma nn Kendrick n jina la kike ooh kumbe ujazoe basi niite juma

Unakataa jinsia yako??? Mbona hujiamini binti, ninachofaham ni kuwa humu ndani kuna special thread ya domo, mbona huishi humu? Kawahimize wenzio kule mpige kura badala ya kutwa kucha kuchungulia humu. Yani tuzo moja inawapeleka puta kiasi hiki??
 
Ivi ww n mwanamme au mwanamke maana iyo bleach kichwani oooh
 
Kweli ushamba gunia misumari, kwa hiyo helcopter ndo unaona issue? Hizo hata kwenye maafa zaenda, hahahahhaha poleni sana

Hahaaaaa na kweli ata kwenye majanga zinaenda na pale ni kwenye janga maana anajiona wa kimataifa na shoo zake ni above laki lakini kaingiza watu bure ili apate sehemu ya kupotezea mawazo ya tuzo
 
Ukishaona kiingilio 10,000 ujue msanii ni level ya kawaida kabisa hahah, na watu kujaa ni kawaida, elfu kumi nani atakosa, na yeye mwenyewe katoa kama milioni moja, kuwalipia watu ili atume picha insta mchezo hahahaha
 
Safi sana kaa mmeanza kupiga kura hahaha eti ohhhh mimi wa kimataifa ohhhhh sijipromoti, thubutuuuuu, tunawapeleka mpaka mmeanza kuvote hahaha! Sizitaki mbichi hizi

Hahahaaaa KTMA INTERNATIONAL AWARDS, si walikuwa wanajichetua tu na sizitaki mbichi hizi, wamekosa wakaanza kulia tena! Wonders never sieze
 
Ukishaona kiingilio 10,000 ujue msanii ni level ya kawaida kabisa hahah, na watu kujaa ni kawaida, elfu kumi nani atakosa, na yeye mwenyewe katoa kama milioni moja, kuwalipia watu ili atume picha insta mchezo hahahaha

Sio elfu 10 bwana mbona unampaisha? Kiingilio kilikua ni buku 5 tu.
 
Ukishaona kiingilio 10,000 ujue msanii ni level ya kawaida kabisa hahah, na watu kujaa ni kawaida, elfu kumi nani atakosa, na yeye mwenyewe katoa kama milioni moja, kuwalipia watu ili atume picha insta mchezo hahahaha

Mkuu pale marafiki zangu kibao wananiambia waliingia kwa buku tano tano adi buku mbili buku 10 unamkweza sana maana yeye alitaka kujaza ukumbi tuu .....yeye +helicopter +nguo feki+ile bukta yake =shoo kafanya bure...
 
Back
Top Bottom