Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mbona anaonekana IG sema ameweka symbol.ya 😷😷😷😷 mswahili sana
 

subiria siku akishuka nchini ndo umpe ushauri... at this tym endelea kupiga majungu na huyo mvaa moka wenu...

yaani tuzo za watu tu mmejaza mavi kwenye chupi.. hivi mngechukua hata moja ya channel O je ?
 
Kuna kamsemo nimekapenda sana kule ista.

Eti " Nyota mwisho kwa waganga wa kienyeji, mjini wote Chekecha Mwana"

Hahahaaaa iyo nzuri......umenifurahisha sana ako kamsemo nilikuwa sijakapata.... .agiza breakfast hotel yyote ya gharama nakuja kulipia tupige story mbili tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…