robinson10
Member
- Apr 27, 2015
- 79
- 22
Saivi dawa ni kutokumjibu.. au tumwambie alieanzisha huu uzi amweke kwenye ignore list maana sasa kana kera na mipicha yake ya wanyama pori
Wanamuogopa sana Ali Kiba, hofu ya jiji , mtu anitajie kitu kimoja tu ambacho Diamond amemzidi Ali, kimoja tu