Kiba ana international awards ngapi,?
Huko internationally wanaangalia viwango...hawatoi tuzo ka pipi...
kuna watu wanaham saana wapate tuzo hizo lakn kiwango mmmh.. they just ending kwa kudis tuzoo....ha ha shame
Shame shame....
Hata kama hujanimention mi nakuquote tu mazeee.....how much does it cost anyway?!!! Lol
Hakuna aliyediss tuzo ila hizo hazinifanyi mimi kama mimi nimuone mondi eti ndo boooraa! Hell no!!
May be fate, decided to not part away so the spotlight could take the lead just as anyone being in a stream.
I beg to convert that term kiwango of yours (though not a number case) into time (if you know wora amiiin) dude kwa Kiba nothing to be ashamed of.....sorry for you cause you used the word inappropriately!
Instead, this na be shame on you....yourselves...mnajiitia mainternational artists no one to compare while mnajambishwa na the so you call him local one can't reach ya level.....chaaaa why now all that energy??? Whyyy noooowww???!!!
Hahahahaaa I dey see you go look for a marking scheme....no need to steal Oga, de answer is still da same.....KIBA NDO KIBOKO YENU! !!! This be da reason na you be here as you find your gang thread useless!!!
Nilishawaambia msijitie umaarufu wa mavi ya mbuzi kufanana na karanga hata mkamuunder estimate Kiba just because mtu wenu ana international awards! Otherwise allow yourself kuwekwa underwatch kabla hujanyoosha mikono juu kuita nyangenyange.Eti nani aone aibu, King karudi juzi tayari hali ya hewa ishachafuka ...assume asingepumzika ...wallah mngejiunga Boko Haram nyie!Kwa kuwasaidia hana tuzo yoyote ya njee maanan mnaona aibu kujibu pyeeeeeeeeeee
Toka nje ya box......ndo tutaelewena!La sivyo kubali kutokukubalianaManeno yangu machacheeee siwez kuongea wala kuandika saana....Timu bora hujidhihirisha kwa kuchukua mataji.......Msanii bora pia....Sasa bisheniii...na mapenzi binafsi yenu...
jamani mi whasap no yao kwangu imetoka nifanyeje sasa?@nifah
Subiri nakuja sasa hivi kukujibu.
Mi nilishindwa ikabidi nihamie online@nifah njoo uokoe jahazijamani mi whasap no yao kwangu imetoka nifanyeje sasa?@nifah
Nilishawaambia msijitie umaarufu wa mavi ya mbuzi kufanana na karanga hata mkamuunder estimate Kiba just because mtu wenu ana international awards! Otherwise allow yourself kuwekwa underwatch kabla hujanyoosha mikono juu kuita nyangenyange.Eti nani aone aibu, King karudi juzi tayari hali ya hewa ishachafuka ...assume asingepumzika ...wallah mngejiunga Boko Haram nyie!
Mi nilishindwa ikabidi nihamie online@nifah njoo uokoe jahazi
Toka nje ya box......ndo tutaelewena!La sivyo kubali kutokukubaliana
Mwambie kiba atafute tuzo..alaf ingekua mngekua bze kumshauriii kiba badala ya kusifia ujinga ujinga
Ingia www.ktma.co.tz ila utavote kwa account yako ya fb/twitter. Unacomfirm acc yako, kuna mahala utaona unajaza namba na sehemu uliponielekeze online bas
Mpenzi hata mimi tokea juzi naona hawarespond chochote.Yule mchagga Kavishe na wenzie naona wameona hii njia haiwaingizii pesa labda.hayaa....
Mi nilishindwa ikabidi nihamie online @nifah njoo uokoe jahazi
Ingia www.ktma.co.tz ila utavote kwa account yako ya fb/twitter. Unacomfirm acc yako, kuna mahala utaona unajaza namba na sehemu ulipo
Mimi hii njia ilinishinda kitambo maana nilitumia fb a/c yangu ila nashangaa kila nikijaribu wananiambia PHP Error was Encountered!
Mpenzi hata mimi tokea juzi naona hawarespond chochote.Yule mchagga Kavishe na wenzie naona wameona hii njia haiwaingizii pesa labda.
Chakufanya tupige tu kwa sms na huko online.
Mbona hutaki kutuwekea link na sisi tupige kura kwa online jamani? Mimi napiga kwa sms tu na kama ni online napiga kura kwenye tuzo za watu tu Kill nimeshindwa.
Ingia www.ktma.co.tz ila utavote kwa account yako ya fb/twitter. Unacomfirm acc yako, kuna mahala utaona unajaza namba na sehemu ulipo
Kama kawaida yenu hamnaga maneno mengine.Ushaona lini bahati inafundishwa kwa mwengine?Nina wasiwasi wewe hata zile categories na nominees wengine huwajui na myimbo zao.Ha haaa povuuuuu.....Kwa kukosa tuzooo....badooo aende kufundishwaaa na dai...jins ya kupata tuzooo