Ali Kiba Fans' Special Thread...

hivi hapa bongoland kuna msanii gani wa bongo fleva ana sauti nzuri kama ya king kiba? kama una mfahamu msanii yeyote mtaje hapa.
Chukua hii kutoka kwa Rick Rose:watu tunazungumzia pesa we unazungumzia upuuzi. kama haikuumi iweke kiinglish uone inavyo sound vizuri.
 

Haya poa.
 
Hahahaaa sikuwezi atoto! Kumbe umechelewa kurepy umeenda kupekua huko weee...na kwa maelezo haya ni dhahiri umeshajua!
Ndio hivyo tena........

Hahaaaaa!! Hata sijapekua mama niko busy na kakazi nakatyp so nimeingia kwenye uzi wangu wa dhati na kupasoma hapa tu maana nikipakosa nahisi kuumwa
 
Last edited by a moderator:
Jamani eeeh nyie binukeni sarakasi zenu weeeee ila mwisho wa siku ndio mnanifanya nizidi kumpenda na kumshabikia Kiba, kama unakereka kuna majukwaa na nyuzi nyingi tu humu hebu jaribu huko labda stress zako zitaisha, after all walaa hunipunguzii wala kuniongezea kitu, i pity you.
 
Hujaleta mrejesho bado, au umezoea mateso ya kampuni za wanyonyaji? makelele kibao na Joti wao wakati Kilosa tu kupata mtandao wao ni hekaheka.

Hahahaaa, Matola umenikomalia kwelikweli. Ujue line nimeshanunua tatizo ni kukata.Ngoja nikaikate tena nakuahidi leo kitu kitakua hewani.
 
Last edited by a moderator:
Haya Matola mrejesho ni huu hapa...Nimeshafanya kweli hivi ninavyocomment hapa nipo ndani ya Airtel! Eeh bwana net iko full no stress.Hiki kimeo cha tigo itabidi nikitafutie kimeo chake sikitaki tena...lol
Najuta kwanini niliiacha airtel 2 years ago!
 
Last edited by a moderator:

airtel ndo mpango mzima
 
Last edited by a moderator:
Acha tu.Nikiwa ndani nilikua na angle zangu kabisa za kuvizia net.Yaani nisipokaa kwenye hiyo angle basi net hakunaaaa...lol
Ngoja nikatafute umbea sehemu naona wala hatuitani! Ms.Lincoln mbaya wewe?

airtel ndo mpango mzima
nawamiss sana
 
Last edited by a moderator:
Na mb800 umeweka? au unatumia mb70 za Yatosha? maana kuna mazuzu humu eti mtu ukiwa bize wanadhani unaishi mb8 kama mikundu yao.

Nimenunua kile cha mb800 kama ulivyoniambia tokea mwanzo.
Hahahaaa, Achana na hao machizi.
 
wakuu kuna taarifa zimevuja kuwa THE KING KIBA ndiye msanii mwenye mjengo mkali na wa gharama kubwa kuliko wasanii wote bongo akiwemo na huyu jirani yetu sijui nani vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…