Ms.Lincoln device zangu hazina nyimbo, sio tu za kibongo hata za mbele.. Zaidi ya hits za G-Unit na other old school sina zingine. Hata za huyo Diamond sina. Nikijisikia kuwasikiliza wabongo huwa naingia youtube tu, mbaya zaidi radio sisikilizi nyingine zaidi ya Radio One. Hiyo nyimbo mpya kama ipo youtube nipe link