Wewe binti unajiamini nini kumtaja
Invisible bila kibali au naye ni AlliK family nini? Teh!
Angalia asije tokeza hapa watu mkavunjika miguu!
Btw, hope mko poa humu....huu mwezi jamani wengi umetukamata sana hata hatupumui vizuri. Kesho kuna hatari ya kupitwa na cheketua...Ms jitolee basi kuniwatsup huo wimbo! Nina hamu nao usipimeeeee