Ali Kiba Fans' Special Thread...



huu ndio mji wa kifalme, usipopita hapa basi umember wako jf una ualakini, nae anataka kuwa mke wa dunia so muacheni asafishe nyota humu
 
Wanaanzaga hivihivi tukiamua kuwatolea uvivu ndo inakuwa shida!Anyways....sie tuendelee kujibrekisha na muke ya dunia!

sana tu!!! huku tukiingoja mapenzi maghorofa
 
Ni kweli kwamba ni kazi rahisi sana kumjua mjinga, kwa sababu hataacha kufanya ujinga wake mbele ya wenye akili.
Mpwa geniveros tumefundishwa kuwavumilia wajinga na ujinga wao coz wanatupa nafasi ya kuonesha kuwa sisi ni wenye akili.
Kwa hiyo mpwa vumilia tu.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…