U seee...
Nilikwambia wewe haujahabarika vya kutosha na unachokifanya unadakia vitamko tamko tu visivyokuwa na mashiko.
Sasa nakupa homework, ni kwamba Kiba aliingilia getini kama kawa ila kuna sehemu kule mbele ilibidi aruke ukuta....malizia mwenyewe why??? ( bt weka pembeni hilo la kishirikina)