Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

mashabiki tunawapresharize sana jana daimond alipaniki sana maskini dah
wafanyabiashara wa mziki ndo mda wa kuvuna huu

cjui namm nianze hii biashara!! maana najua lzm niwe le bilionea, uh!! kwani wao hawana akili washindwe kuchanganya na zao mpaka wafikie huo ujinga!! watanishangaza, ila aminia kiba hana hayo mambo bwana.
 
mashabiki tunawapresharize sana jana daimond alipaniki sana maskini dah
wafanyabiashara wa mziki ndo mda wa kuvuna huu

Umeona mwaya eeh?Ndomo alikua na pressure kubwa sana,kuzomewa si mchezo jamani!
Hata hivyo sidhani kama diamond atakubali tena kusimama jukwaa moja na King,la sivyo promota ampe na pesa za kugawa jukwaani kabisa.
Hahahahahahaaaaaa
 
hahahaaa!!! nifah naona unaanza kunisingizia mchana kweupeee!! usijali takuhonga buku usipotee tena!

Hahahahaaaa ni utani tu.Si unajua leo kidogo nipasuke kwa furaha?
Usijali.Hiyo buku mtumie ndomo arudishie kwenye 'bilioni' yake aliyoipunguza jana.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa I would like to know them mumy.....
Ajabu hiyo,msanii ambaye kila siku wanatupigia kelele humu kua King mwisho dar lakini anamnyima usingizi ndomo wa kimataifa!
Heheheeeeee....

hili linabidi liingie kwenye maajabu saba ya dunia, hahahaaa!!!
 
Umeona mwaya eeh?Ndomo alikua na pressure kubwa sana,kuzomewa si mchezo jamani!
Hata hivyo sidhani kama diamond atakubali tena kusimama jukwaa moja na King,la sivyo promota ampe na pesa za kugawa jukwaani kabisa.
Hahahahahahaaaaaa

hahahahaaaaaaaa pesa za kugawa mtamuua jamani
 
Attachments

  • 1422189383449.jpg
    1422189383449.jpg
    37.4 KB · Views: 129
Back
Top Bottom