Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
nifah mwenzako leo ninahamu ya kucheza mwana ile style ile yani, embu niambie mfalme leo anasababisha wapi??Heeee!kumbe haupo huku na sisi eeh?
Leo ni burudani tupu.
how are you dear Avemaria
Kweli maisha bila unafki hayaendi mjini. Ni wewe huyu?
😱😱😱 unataka unipeleke polisi
polisi ukafanye nn, si nakukamata nakutandika viboko tu
Viboko :what: ushawah ona Jogoo akipgwa na koo?
wacha we!
Mwanaume Mimi tapgwaje na Ke !
Kweli maisha bila unafki hayaendi mjini. Ni wewe huyu?
Haha hahaaaa.....Uwiiiiiiiii
Haya sasa Ms.Lincoln uje ujibu hili swali.
Bampa to Bampa!!alafu cjui kapotelea wapi!!! au ndio wanapeana zamu
Kweli maisha bila unafki hayaendi mjini. Ni wewe huyu?
alafu cjui kapotelea wapi!!! au ndio wanapeana zamu