Ali Kiba aja kivingine.Sasa ni back to back

Ali Kiba aja kivingine.Sasa ni back to back

Jamaa yupo iringa kupga show alafu nimeona mapokezi yake wala syo konki kama ilivyokuwa kuleTabora ,Inaonekana hawa jamaa wa Iringa mziki wameuweka kando kbsa au watakuwa team DOMO maana wapo bize na mbao,nyanya na viazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Kama ni kujua kuimba bora nimsikilize marioo..
Kiba ni trash sasa hivi... melody ile ile siku zote.. mara ya mwisho kiba kutoa hitsong ni seduce me.. toka kipindi hicho mpaka leo anatoa utumbo wa nguruwe tu.
Punguza munkari.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Naona kuna dalili ya Ali kiba kubadilika.Kwa sasa kaamua kuachia ngoma back to back,iwe ni ngoma zake au za kushirikishwa kitu ambacho hapo kabla kilikuwa kigumu.

Safari hii kaachia wimbo alioimba na Bella.Audio na video vyote vimekamilika.

Yetu macho.

Mkwaju baada ya Mkwaju - another one kutoka kwangu Na my brother Christian Bella - #Chaku

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Sasa hapo kuna nyimbo au ugoro wa.mrenda DIAMOND BABA LAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wengi mnaongea kiushabiki Tu , Ally Kiba ni fundi , nyimbo za Ally Kiba zinakufanya hata kama unatembea huku unaziimba, nyimbo Safi sauti tamu ..... Pote kuanzia ya Karimu ,Macmuga , Mwana mpak Mshumaaa ....

Diamond anachomzidi Ally Kiba ni ujanja na juhudi za kutafuta Pesa na ucheshi.....
Lakn Kwa utunzi wa nyimbo Safi zenye mahadhi ya kitanzania , Kiba Hana mpinzan .
Ujanja na kutafuta pesa ndo point associate with utunzi na melody+sauti tamu(DIAMOND BABA LAO)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmh sasa nyimbo ya Christian Alli kiba anamamlaka gani nayo mpaka aamue itoke or isitoke

Afanye back to back za kwake apo itakuwa sawa sio nyimbo za wengine useme Allikiba katoa wimbo mpya mnamtafutia excuse
 
Ni kwel kiba anajua kuimba..shida ni soko la sasa halitaki tu ujue kuimba...kuna kitu soko linataka na kiba bado hajajua nini soko linataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya yote Ali kiba anayajua kuna jamaa mmoja wa jamii forum kipindi cha nyuma alishawahi kumtumia ujumbe DM na jamaa akajibu kapokea ujumbe na ataufanyia kazi nadhani ni jeuri zake tu na anahisi akibadilika watu watahisi anabadilika kwasababu ya mondi,
 
Kumbe anafanya makusudi
Haya yote Ali kiba anayajua kuna jamaa mmoja wa jamii forum kipindi cha nyuma alishawahi kumtumia ujumbe DM na jamaa akajibu kapokea ujumbe na ataufanyia kazi nadhani ni jeuri zake tu na anahisi akibadilika watu watahisi anabadilika kwasababu ya mondi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe anafanya makusudi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ali kiba ni msanii mwenye bahati sana tena kuliko hata diamond kwanza jamaa anapendwa sana naturally ana support kubwa sana kutoka kwa media support ambayo hakuna msanii yoyote Tanzania amewahi kuipata but still jamaa kashindwa kuitumia nafasi hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom