Alhamisi nitafunguka-Lwakatare

Status
Not open for further replies.
wanasisa watu wajaabu sana we utaona watakavyotulaghai hapo sijui hata tumuamini nani
 
Jidanganye kuropoka tena uone,kama hujui umetegwa hapo ulipo.Ushauri wangu kwako Lwakatare kaa tulia na familia yako acha kumtesa mkeo na watoto wako!

Uoga ndiyo dhambi mbaya kuliko zote ! Ushauri wako umekataliwa .
 
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Endeleeni kuyapanga hayo majanga kwa sababu ya kujiokoa kwenye jahazi linalozama; lazima mtashindwa tu.
 
Mwenzio kaishakula KUNGU eti wewe unamwambia ' Think Twice ' hatakuelewa !
 
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.

asili ya wanaharakati wa kweli duniani ni kupigania maslahi ya taifa hata kufa kwa ajili ya taifa na sio familia...eg mandela, steven biko, luther...
 
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Asipolala mahabusu hatasikika, wee huoni kila kukicha anatajwa kila kona kwa sababu alikuwa lupango.

Hizi mbinu anazipenda sana kubwa jin..a wa arusha
 
Mwaga ukweli mlivyopanga
 
Asipolala mahabusu hatasikika, wee huoni kila kukicha anatajwa kila kona kwa sababu alikuwa lupango.

Hizi mbinu anazipenda sana kubwa jin..a wa arusha
Umekimbia matibabu ya ugonjwa wa akili; daktari wako anakusubiri akutibu bure usijidhuru zaidi
 
Ngoja atulie atuletee part 2 part 1 ipo fresh xana,ile director abadilishe asiwe Mwigulu nchemba au vp?p1 xana actor.
 
mkuu hicho chama kipo hai kwa sababu ya propaganga za Tanzania Daima, lazima waumgurume gazeti lao linapoguswa, nathamani amani itoweke halafu watu wapelekwe the hague tuone kama mkurugenzi wa freemedia atasalimika.

Povu la nini mkuu? Subirieni Alhamis mnyolewe nywele na Kamanda Lwax.
 
Dhuluma,uonevu,na unyanyaswaji upo sana katika nchi hii,ni afadhali sana kwa wale wanaopata nafasi za kusema kama Lwakatarwe,wapo wengi sana wanaodhulumiwa na kunyanyaswa na kuonewa lakini hawapati mahala pa kusemea wala mtu wa kuwasikiliza,watafuteni hao muwasikilize mtashangaa sana,au mtoeni Babu Seya leo gerezani afunguke muone itakuwaje.Nchi hii dhuluma na uonevu kwa watu wa tabaka la chini ndio vimeatawala.
 
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.

Umepotea njia wewe Gamba kama huna cha kuandika bora ukae kimya kuliko ku post haya mashudu.
 
Jela inamsubiri na kwa muda
huu ambao yupo nje kwa dhamana ningewashauri wananchi kuchukua tahadhari
ili wasing'olewe kucha na kumwagiwa tindikali.

Una mawazo na roho mbaya kama ID yako...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…