Alhaji Sheikh Ponda: Game Changer kwa kura za Waislamu

Mimi ninachojua kabla ya Kampeni CCM walikuwa na 'uhakika' tayari kwa Kura Milioni 14 na Kampeni zikielekea 'Ukingoni' hivi wana Milioni 22 zao.
Huko siyo kujua huo ni utabiri wa kichawi unawaza kiuchawi hauwazi kiuhalisia, ccm ya sasa ni ccm ya hovyo mno hakuna maendeleo hakuna chochote vyombo vya dola vinatumika vibaya, wananchi wamekosa furaha hakuna mwenye Akili timamu anaipenda ccm tena
 
Unamshambulia wrong enemy. Tatizo la kwanza ni Jiwe mwenyewe
Magufuli anaogopa kutoka ikulu kwa ana hofu kubwa ya kuandamwa na utitri wa kesi kuliko Jacob zuma wa Africa kusini ndiyo maana anafanya kila mbinu asalie ikulu
 
Huko siyo kujua huo ni utabiri wa kichawi unawaza kiuchawi hauwazi kiuhalisia, ccm ya sasa ni ccm ya hovyo mno hakuna maendeleo hakuna chochote vyombo vya dola vinatumika vibaya, wananchi wamekosa furaha hakuna mwenye Akili timamu anaipenda ccm tena
Hebu nitolee huu 'Ushuzi' wako hapa tafadhali.
 
Tatizo tume tu nasubiria wakati
Lissu anashinda kutanganzwa sasa na kale kashetani lubuva
 
Sababu gani dini yote mkamuunga yeye mkono?
1.Masheikh wetu wanaozea jela mwaka wa 7 huu kesi haisikikizwi hukumu haitolewi.
2.uonevu katika nchii hii umezidi watu wanatekwa wanapotea wanauliwa na serikali haichukui hatua
3.vyama vya upinzani hawapewi "fairly ground " tofauti na wenzao CCM
4. Wazanzibari hawana uhuru wa kuwachagua viongozi wanaowataka
5.vijana wetu wamemamaliza vyuo tangu 2015 Ajira hakuna.
6. Mengine utaongezeaa.....
 
Huko siyo kujua huo ni utabiri wa kichawi unawaza kiuchawi hauwazi kiuhalisia, ccm ya sasa ni ccm ya hovyo mno hakuna maendeleo hakuna chochote vyombo vya dola vinatumika vibaya, wananchi wamekosa furaha hakuna mwenye Akili timamu anaipenda ccm tena
Bado naona 'Ushuzi' wako tu hebu nitokee hapa tafadhali!
 
Una uhakika Lissu akiwa Rais watatolewa? Shida yao hasa ni nini?
 
Kuna slogan inatumika kupakazia uislam pindi muislam akijitokeza ktk siasa za tz, wenye kumbukumbu wanajua kilichokuwa kinamuandama Kikwete akiwa rais. Huyu ponda atasakamwa na hiyo slogan pia, wamesahau kwamba huyu ni miongoni mwa watanzania walioshambuliwa hadharani na vitu vyenye ncha kali (kwa mujibu wa ripoti ileee) sio mwoga tena na ni pacha wa Lisu kwa aliyoyapitia. Asidharauliwe na chama cha mapinduzi ana wakilisha wapiga kura huyu. Msije mkajisahau.
 
Mdude Nyagali ajiandae kurudi Uraiani kishujaa huku ameambatana na Mashekhe wa Uamsho na wenzao wa Answari Sunna
 
Hamna haja ya kuandaa speech mbili!
Aandaliwe moja, ya kushindwa!.
Hiyo speech ya kushinda hivi mbona mnajitia upofu ninyi watu?
Hamuamini amini kama tarehe 28 bao la mkono haliwezekan?? Ccm imefikia mwisho na kama hamuamini nchi inaenda Chama kingine basi msubiri muone polisi watakavyowageuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…