Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,520
- 3,482
Ukitaka kufahamu madhara mengine hii nchi ilikua na watu ma giant, hebu angalia siku hizi watu wafupi wadogo hawana nguvu na afya pia. Vijana wa zamani ilikua hata awe mfupi lakini yuko na nguvu haswa.Nchi za West Africa tulikua tunatoshana nao kwa u giant na nguvu, hebu angalia leo timu za mpira, wachezaji wetu kama vitoto vile.. madhara yake ni makubwa na watu bado wanatetea ujinga tu. Pale forodha hio issue Iliua watu wengi sana.. rip wapendwa wetu.