Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

Watu wa kitengo ilikua enzi za Mwalimu na Mwinyi kidogo. Siku hizi ma dogo wanatamka LIVE mbele ya watu kuwa wako usalama. Enzi zile mtu wa kitengo anajifanya fundi magari au fundi ujenzi au anauza bar. na huyo barmaid ni simple hata ukiomba mzigo unapewa tu. sema siku zile ule ujinga wa mtandao wa tigo ulikua hakuna
Kweli kabisa, kwanza siku hizi hata jinsi wanavyopatikana ni ujinga mtupu!

Nasikia mwalimu nyerere alikuwa anawafuata mashuleni kisha anawafunza tangu wakiwa shule za sekondari, siku hizi wanachukuana kiujomba! Ndio unamkuta yuko bar na kibastora chake eti anatisha watu mi usalama,

Uninga mtupu
 
Hii habari nimeisoma kama ilivyo na wala sina muda wakuitafriri. Kuumiza kichwa yangu for nothing sipendagi
 
Mkuu Mshana Jr hebu weka wazi kidogo..
Kwann umeandika maada hii Leo baada ya kupatkana kwa Mo?

Je hyo kampuni iliyokuwa imeagiza Michele ni kampuni gani?
Mmiliki wake ni nani?

KAMPUNI ILIKUWA NI MOHAMED ENTERPRISES NA KWA MARA YA KWANZA TAARIFA YA HABARI ILISOMWA NA SALIMU MBONDE SIJUI YUKO WAPI SIKU HZI
 
KAMPUNI ILIKUWA MOHAMED ENTERPRISES NA TAARIFA YA HABARI KWA MARA YA KWANZA NILIISIKIA RTD WAKATI HUO NA MTANGAZAJI ALIKUWA SALIMU MBONDE SIJUI YUKO WAPI SIKU HIZI.
 
Back
Top Bottom