Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

Ukitaka kufahamu madhara mengine hii nchi ilikua na watu ma giant, hebu angalia siku hizi watu wafupi wadogo hawana nguvu na afya pia. Vijana wa zamani ilikua hata awe mfupi lakini yuko na nguvu haswa.Nchi za West Africa tulikua tunatoshana nao kwa u giant na nguvu, hebu angalia leo timu za mpira, wachezaji wetu kama vitoto vile.. madhara yake ni makubwa na watu bado wanatetea ujinga tu. Pale forodha hio issue Iliua watu wengi sana.. rip wapendwa wetu.
 
Jaribu kuwa mwelewa simtetei mtu najaribu kuandika kitu kilichokuwa na ithibati kamili... Hata kama Mwinyi alikuwa mstari wa mbele lakini mwisho wa siku ilitumika kampuni moja kufanikisha mchakato... Kuna vitu vingi muhimu nimegusia kwenye mada kuu naona hukuviona
Tatizo watu hawasomi nakuelewa wanawahi comments kabla ya kuelewa anacho comment.
 
Kipanya bana...
IMG-20181025-WA0013.jpeg
 
Mada iko very clear nimetaja kampuni kwakuwa wamiliki kwa maana ya shareholders huja na kuondoka.... Lakini kila ajaye hurithi mipango, mikakati madeni faida nk.... Hapa nimejadili kampuni sio mtu
Tuweke siasa kando wewe jamaa ni akili nyingi sana mkuu. Respect respect respect ..
 
Ukitaka kufahamu madhara mengine hii nchi ilikua na watu ma giant, hebu angalia siku hizi watu wafupi wadogo hawana nguvu na afya pia. Vijana wa zamani ilikua hata awe mfupi lakini yuko na nguvu haswa.Nchi za West Africa tulikua tunatoshana nao kwa u giant na nguvu, hebu angalia leo timu za mpira, wachezaji wetu kama vitoto vile.. madhara yake ni makubwa na watu bado wanatetea ujinga tu. Pale forodha hio issue Iliua watu wengi sana.. rip wapendwa wetu.
 
Sasa hivi ndiyo alishasaini mikataba kuchukua Simba na nembo na ASSETS ZAKE. Kuna kesi imeanzishwa na taasisi ya serikali.
 
Halafu mtu anaamini tu kua ku-struggle kikawaida unakua bilionea.
Matajiri wengi wana TELLABLE na UNTELLABLE stories kuhusu mafanikio waliyoyafikia.
 
224 Reactions
Reply
Back
Top Bottom