Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,808
- 15,578
89 Dewji huyu alikua shule badoSijaijua hyo habar mkuu. Kwahyo huo mchele ulikuwa ni Wa dewji?
89 Dewji huyu alikua shule badoSijaijua hyo habar mkuu. Kwahyo huo mchele ulikuwa ni Wa dewji?
[emoji120][emoji120][emoji120]JamiiForums ikiwezekana iwe na television yake, irushe matangazo yake, iwe na kisimbuzi chake.
Ikiweza iwe na radio station yake.
Hakuna media makini zaidi ya hii.
Nashukuru kuifahamu.
Hongera Brother Mshana Jr
Mimi nilikua mdogo kiumri nisingeweza kuyajua haya
Jaribu kuwa mwelewa simtetei mtu najaribu kuandika kitu kilichokuwa na ithibati kamili... Hata kama Mwinyi alikuwa mstari wa mbele lakini mwisho wa siku ilitumika kampuni moja kufanikisha mchakato... Kuna vitu vingi muhimu nimegusia kwenye mada kuu naona hukuvionaUtakuwa mtu wa ajabu na najua utajitetea na hata watu wengine wanaweza kukutetea. Kiongozi wa nchi wa wakati huo - Mwinyi ndiye aliyekuwa msitari wa mbele kwa kuruhusu unga wa ngano na mchele wenye sumu kwa sababu alikuwa na maslahi nalo.
Nimeipenda sana hii!Maandishi ni kama roho..! Hayafutiki huishi hata baada ya kuondoka kimwili
Mo alizaliwa tarehe 8 Mei mwaka 1975, ikiwa na maana kwamba kwa sasa ana miaka 43.AMEZALIWA 1976 MKUU alikuwa mtoto tu..ila familia yake ilikuwa kwenye biashara tangu zamani
Jaribu kuwa mwelewa simtetei mtu najaribu kuandika kitu kilichokuwa na ithibati kamili... Hata kama Mwinyi alikuwa mstari wa mbele lakini mwisho wa siku ilitumika kampuni moja kufanikisha mchakato... Kuna vitu vingi muhimu nimegusia kwenye mada kuu naona hukuviona
Kweli JF ni kisima cha habari,Eeeeeeh Mungu wewe tu ndo unajua yale yaliyojificha kwenye mioyo ya watu. Kuna kipindi unaweza kuwahurumia watu kutokana na mikasa inayowapata kumbe huko nyuma walikuwa watu wabaya. Kweli nimeamini ukifinya ubaya kamwe hautafutika milile, na machozi ya waliodhulumiwa malipo yake ni hapa hapa duniani.Kampuni husika wakati huo iliwapoteza wafanyakazi wake wengi tu, wengine walifanyiwa unyama na ukatili wa kutisha na kutosha...
Kwenye maghala yake ya kuhifadhia nafaka wamiliki waliweka mbwa wengi sana kwa ajili ya ulinzi... Mbwa hawa walikuwa wakijisaidia kubwa na ndogo juu ya nafaka na hivyo kuzifanya nafanya kuharibika haraka kutokana na kinyesi kuoza na kutoa funza, haja ndogo kusababisha unyevu nknk.... Mfanyakazi aliyejaribu kutoa siri nje ndio ilikuwa kwaheri kubwa...! [emoji15][emoji24][emoji40]ama mwandishi wa habari aliyejaribu kufuatilia ilikuwa ama zake....
Tunapoungana na wengine kushangilia mafanikio yao ni vema tutafakari na njia walizopitia... But who cares!!!! After all the end justifies means
Kwa hiyo yale madai ya Ansbert Ngurumo/Sauti Kubwa kuwa watekaji wamedai ransom ndefu yalikuwa ya kweli sio?Kwahyo watekaji tayar wamelamba chaoView attachment 904462
Ngamia anayetajwa hapo ni mnyama CAMEL Mathayo 19:24 sema tafasili ya kiingerezaNimekuelewa naam. Siku zote nilikuwa najua Ngamia ni mnyama, that giant desert monster creature. Kumbe ngamia ni kamba ya nanga Thanks msamiati umeongezeka
Hivi anauliza swali kutoka kwenye thread au comment za wanyangiaji ? dah... [emoji849][emoji849]Jaribu kuwa mwelewa simtetei mtu najaribu kuandika kitu kilichokuwa na ithibati kamili... Hata kama Mwinyi alikuwa mstari wa mbele lakini mwisho wa siku ilitumika kampuni moja kufanikisha mchakato... Kuna vitu vingi muhimu nimegusia kwenye mada kuu naona hukuviona
Si ajabu hapo ulipo huna nguvu za kiume, tatizo lililotokana na wewe kula mchele uliokuwa haufai kwa matumizi ya binadamu who knows?Acha U-boya...kwani hiyo ilikua ni Cohort study,kana kwamba subjects waliotumia mchele wangefanyiwa follow-up
Mkuu pengine ulikuwa bado kijana mdogo hivyo ni ngumu kuelewa,ndio maana tunasoma historia na vitu kama hivyo,kwa upande mwingine naamini hakuna anayefurahia uovu wa aina yeyote,kwangu ni SOMO zuri linalotufunza kuwa wadadisi katika mambo mbalimbali yanayotukia katika jamii yetu,hasa kizazi chetu cha leo......Mabaga fresh nimepagawa tu
Hivi wakuu kupatikana kwa Mo kunahusisha jitihada za polisi au ni watekaji waliamua tu kumrudisha wenyewe?
Ila tunashukuru hawajamkashoghi.
Nimekuelewa sana Mkuu!Mada iko very clear nimetaja kampuni kwakuwa wamiliki kwa maana ya shareholders huja na kuondoka.... Lakini kila ajaye hurithi mipango, mikakati madeni faida nk.... Hapa nimejadili kampuni sio mtu
wamesahau kuwa side mirror bado inasoma zile namba za msumbijiGari limebadilika plate namba na rangi ya kibao ni ya njano
basi Kama hivyo, suala la Dr fupi ni zaidi ya mgogoro wa taarifa ya matokeo ya uchunguzi.Hakuna aliyewahi kufanya utafiti na ripoti ya Dr Fupi haijawahi kupatikana hadharani