Watenda haki hawaoni wajukuu zao.Alfajiri ya leo tarehe 20.10.2018 imepokelewa na watu wengi kwa furaha kubwa baada ya kuenea taarifa za kupatikana salama mfanyabiashara kijana bilionea Mohammed Dewji... Ni furaha kwa familia, ndugu jamaa na marafiki na wale wote wasioamini katika udhalimu.....
Mwishoni mwa utawala wa rais Ali Hassan Mwinyi (CCM) mwaka 1989-90... Lilitokea jambo baya sana lililoitia nchi yetu DOA kubwa sana... Mauaji ya kutisha ya Dr. Fupi aliyekuwa mkemia mkuu wa serikali kipindi hicho... Uzalendo wa nchi yake... Utu wema wake, uamunifu na chuki dhidi ya rushwa vilisababisha maisha yake yakatishwe... Akiacha mjane na watoto wawili
Udhalimu, uchoyo, ubinafsi kukosa huruma, hamu kubwa ya kupata kuliwafanya watu wanaojifanya watu Mungu sana kusahau utu wao na kufanya ukatili mkubwa kwa mtu aso hatia! Wakaichukua roho yake mchana kweupe, na kuiachia familia yake majonzi makubwa na machozi ya milele!
Nini kilitokea!?
Kulikuwa na kampuni moja iliyokuwa inajishughulisha na uuzaji wa nafaka... Kampuni hii ilikuwa na mabohari makubwa hapa DSM... Basi kukawa na uhitaji mkubwa wa mchele na ngano kipindi hicho, na kampuni husika ikaingiza tani za kutosha ili wananchi wapate chakula na kampuni ipate pesa
Mchele ule uliingizwa toka uarabuni kupitia Zanzibar nadhani.. Habari zikavuja kwamba mchele ule haukufaa kwa matumizi ya binadamu, ulikuwa umeshaharibika... Kuthibitisha tuhuma hizi ikabidi mkemia mkuu wa serikali aitwe kuupima...!
Mkemia akafanya kazi yake kwa uaminifu na weledi mkubwa akishirikiana na senior lab technician mmoja... Hawa wawili wakaheshimu kiapo chao cha kazi.. KUTENDA KWA WELEDI NA UAMINIFU... Dr Fupi akatoa majibu yake kuwa mchele ule haufai kwa matumizi ya binadamu, yoyote ayakayeutia atapata madhara makubwa ya kiafya yajayo taratibu....
Wenye mali wakapingana na majibu ya mkemia mkuu wa serikali... Malumbano yakaanzia hapo, vitisho nk... Lakini Dr Fupi akashikilia msimamo wake!
Mwishoni mwa wiki ile ya malumbano Dr Fupi akiwa nyumbani kwake akapata ugeni.. Kuchungulia getini akaona hawa si watu wema kwakuwa walikuwa wanaparamia ukuta... Dr kwa haraka akaomba msaada wa polisi wa vituo mbalimbali (alikuwa anaishi Oysterbay)
. Kituo no moja simu ilikuwa busy
. Kituo no mbili gari haikuwa na mafuta
. Kituo no tatu kilipokea wito lakini wakafika kwa kuchelewa kidogo...
Watu wale wabaya waliingia ndani kwake kwa kuvunja mageti na milango na wakamkuta Dr akiendelea kuomba msaada.. Walimkatakata mpaka akakata roho.... Wakaondoka bila kuchukua kitu chochote...
Wiki iliyofuata msaidizi wake akakaimu nafasi yake na kutoa haraka cheti cha ubora wa mchele husika na bidhaa husika ikaingizwa sokoni, huku familia ya Dr Fupi ndugu na jamaa wakiwa kwenye majonzi makubwa ya kumpoteza baba yao... Yule senior lab technician pia alikufa inasemekana kwa sumu....
Kampuni husika ilituhumiwa sana kwenye hili lakini wakati huo Mzee Malecela akiwa mwenye nguvu kubwa akalimaliza ajuavyo yeye....
Maneno ya Mungu yanasema ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa mbinguni.. (Ngamia sio mnyama ni lile kamba kubwa la kushikilia chombo kinapoweka nanga ufukweni ama baharini)
Mbele ya nuru ya mafanikio ya matajiri nyuma yake kuna giza lililojaa udhalimu tupu.....
Ngazi za kuwafikisha watu wengi kwenye kilele cha mafanikio ya kibiashara zimeshikiliwa na mafuvu na mifupa ya wahanga wengi sana!
Ni weekend ya furaha MO kapatikana.... Ni weekend nyingine ya huzuni kubwa kwa familia ile ya Dr Fupi iliyopokwa mpendwa wao hali wakiwa bado wanamhitaji sana... Nitamlilia daima shujaa huyu wa uzalendo asiyekumbukwa popote! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kumbe nyuma ya utajili wa MO baba yake walishawahi kumuua Dr Fupi. Dah nimesikitika sana. Kumbe MeTL imejengwa kwa damu za watu kuuawa? Asante sana kwa kuwakumbusha watanzania. Inauma sana, nadhani MO aache kujipambanua kama mpiganaji au mjasiriamali bali ni jambazi na liuaji la watu. Na Malecela kumbe naye ni muuaji ndiyo maana alikosa urais
Ingekua kipindi, huyo Dr Fupi angeonekana ana WIVU kwa watu wenye fedha.. Maana sasa hivi kiongozi yoyote akisimamia kiapo, sheria kwa Matajiri anaonekana ana WIVUDr Fupi akatoa majibu yake kuwa mchele ule haufai kwa matumizi ya binadamu, yoyote ayakayeutia atapata madhara makubwa ya kiafya yajayo taratibu....
Wenye mali wakapingana na majibu ya mkemia mkuu wa serikali... Malumbano yakaanzia hapo, vitisho nk... Lakini Dr Fupi akashikilia msimamo wake!
We must learn how to balance every story
Nyerere hakuwahi kuwapenda watu wa jamii fulani si kwasababu alikuwabaguzi bali namna wao pia walivyochukulia watu wenzao wa jamii fulani kwa kiasi fulani naanza kukuelewa mh. Rais Magufuri.Alfajiri ya leo tarehe 20.10.2018 imepokelewa na watu wengi kwa furaha kubwa baada ya kuenea taarifa za kupatikana salama mfanyabiashara kijana bilionea Mohammed Dewji... Ni furaha kwa familia, ndugu jamaa na marafiki na wale wote wasioamini katika udhalimu.....
Mwishoni mwa utawala wa rais Ali Hassan Mwinyi (CCM) mwaka 1989-90... Lilitokea jambo baya sana lililoitia nchi yetu DOA kubwa sana... Mauaji ya kutisha ya Dr. Fupi aliyekuwa mkemia mkuu wa serikali kipindi hicho... Uzalendo wa nchi yake... Utu wema wake, uamunifu na chuki dhidi ya rushwa vilisababisha maisha yake yakatishwe... Akiacha mjane na watoto wawili
Udhalimu, uchoyo, ubinafsi kukosa huruma, hamu kubwa ya kupata kuliwafanya watu wanaojifanya watu Mungu sana kusahau utu wao na kufanya ukatili mkubwa kwa mtu aso hatia! Wakaichukua roho yake mchana kweupe, na kuiachia familia yake majonzi makubwa na machozi ya milele!
Nini kilitokea!?
Kulikuwa na kampuni moja iliyokuwa inajishughulisha na uuzaji wa nafaka... Kampuni hii ilikuwa na mabohari makubwa hapa DSM... Basi kukawa na uhitaji mkubwa wa mchele na ngano kipindi hicho, na kampuni husika ikaingiza tani za kutosha ili wananchi wapate chakula na kampuni ipate pesa
Mchele ule uliingizwa toka uarabuni kupitia Zanzibar nadhani.. Habari zikavuja kwamba mchele ule haukufaa kwa matumizi ya binadamu, ulikuwa umeshaharibika... Kuthibitisha tuhuma hizi ikabidi mkemia mkuu wa serikali aitwe kuupima...!
Mkemia akafanya kazi yake kwa uaminifu na weledi mkubwa akishirikiana na senior lab technician mmoja... Hawa wawili wakaheshimu kiapo chao cha kazi.. KUTENDA KWA WELEDI NA UAMINIFU... Dr Fupi akatoa majibu yake kuwa mchele ule haufai kwa matumizi ya binadamu, yoyote ayakayeutia atapata madhara makubwa ya kiafya yajayo taratibu....
Wenye mali wakapingana na majibu ya mkemia mkuu wa serikali... Malumbano yakaanzia hapo, vitisho nk... Lakini Dr Fupi akashikilia msimamo wake!
Mwishoni mwa wiki ile ya malumbano Dr Fupi akiwa nyumbani kwake akapata ugeni.. Kuchungulia getini akaona hawa si watu wema kwakuwa walikuwa wanaparamia ukuta... Dr kwa haraka akaomba msaada wa polisi wa vituo mbalimbali (alikuwa anaishi Oysterbay)
. Kituo no moja simu ilikuwa busy
. Kituo no mbili gari haikuwa na mafuta
. Kituo no tatu kilipokea wito lakini wakafika kwa kuchelewa kidogo...
Watu wale wabaya waliingia ndani kwake kwa kuvunja mageti na milango na wakamkuta Dr akiendelea kuomba msaada.. Walimkatakata mpaka akakata roho.... Wakaondoka bila kuchukua kitu chochote...
Wiki iliyofuata msaidizi wake akakaimu nafasi yake na kutoa haraka cheti cha ubora wa mchele husika na bidhaa husika ikaingizwa sokoni, huku familia ya Dr Fupi ndugu na jamaa wakiwa kwenye majonzi makubwa ya kumpoteza baba yao... Yule senior lab technician pia alikufa inasemekana kwa sumu....
Kampuni husika ilituhumiwa sana kwenye hili lakini wakati huo Mzee Malecela akiwa mwenye nguvu kubwa akalimaliza ajuavyo yeye....
Maneno ya Mungu yanasema ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa mbinguni.. (Ngamia sio mnyama ni lile kamba kubwa la kushikilia chombo kinapoweka nanga ufukweni ama baharini)
Mbele ya nuru ya mafanikio ya matajiri nyuma yake kuna giza lililojaa udhalimu tupu.....
Ngazi za kuwafikisha watu wengi kwenye kilele cha mafanikio ya kibiashara zimeshikiliwa na mafuvu na mifupa ya wahanga wengi sana!
Ni weekend ya furaha MO kapatikana.... Ni weekend nyingine ya huzuni kubwa kwa familia ile ya Dr Fupi iliyopokwa mpendwa wao hali wakiwa bado wanamhitaji sana... Nitamlilia daima shujaa huyu wa uzalendo asiyekumbukwa popote! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mabaga fresh nimepagawa tuMkuu wenye vichwa vipana wamekuelewa.....
Hapana inaweza kuwa zaidi ya hapo maana sasa hiv ana miaka kama 39/40Mo alikuwa na miaka 13 au 14 kipindi hicho...
[emoji115][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144]
Mnageuzwa akili kirahisi sana, miaka hiyo ya 89-90 Mo alikuwa mtoto wa miaka 14 akisoma shule ya msingi. Akili ya kuambiwa changanya na za kwakoUnamaanisha Mo? Nataka kutengua masikitiko yangu ya zaidi ya wiki[emoji85]
Anzisha Uzi - "Matajiri na Matukio ya Kimafia Nchini Tanzania" - watu watakuletea mambo ya kimafya waliyofanya matajiri mbalimbali - hasa kuua watu, akiwemo Zakaria, Dewji, Bakhressa, etc.
.Mkuu mshana ,bado nipo njia panda juu ya aliyekuwa mmiliki wa hiyo kampuni,nisaidie hapo
Mnageuzwa akili kirahisi sana, miaka hiyo ya 89-90 Mo alikuwa mtoto wa miaka 14 akisoma shule ya msingi. Akili ya kuambiwa changanya na za kwako