myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AMEZALIWA 1976 MKUU alikuwa mtoto tu..ila familia yake ilikuwa kwenye biashara tangu zamaniHapana inaweza kuwa zaidi ya hapo maana sasa hiv ana miaka kama 39/40
AMEZALIWA 1976 MKUU alikuwa mtoto tu..ila familia yake ilikuwa kwenye biashara tangu zamaniHapana inaweza kuwa zaidi ya hapo maana sasa hiv ana miaka kama 39/40
Mnageuzwa akili kirahisi sana, miaka hiyo ya 89-90 Mo alikuwa mtoto wa miaka 14 akisoma shule ya msingi. Akili ya kuambiwa changanya na za kwako
All in all, MO hawezi kuhusika moja kwa moja kwa umafia wa baba yake Dewji. Wahindi na waarabu wamefanya umafia mwingi sana nchini.
Mada iko very clear nimetaja kampuni kwakuwa wamiliki kwa maana ya shareholders huja na kuondoka.... Lakini kila ajaye hurithi mipango, mikakati madeni faida nk.... Hapa nimejadili kampuni sio mtuNakubaliana na wewe na nimeweka wazi kuwa MO hawezi kuhusishwa moja kwa moja na umafia aliofanya baba yake, alikuwa bado mdogo akisoma.
Mada iko very clear nimetaja kampuni kwakuwa wamiliki kwa maana ya shareholders huja na kuondoka.... Lakini kila ajaye hurithi mipango, mikakati madeni faida nk.... Hapa nimejadili kampuni sio mtu
Vyombo vya ndani vipo vizuri mkuu hatuitaji CIA wala secret state service tumejitoshelezaKumbukizi Ya Dr Fupi Iliyojaa Huzuni Masikitiko Tele
Haki Ipo Kwa Mungu Pekee
Mo Sasa Ni Nafasi Yake Kumiliki Ulinzi Nadhani Hata Battalions
Itapendeza Mo Mwenyewe Sasa Akitumia Pesa Zake
Afanye Private Investigation Kilichompata
I can't believe Sirro, a perfect professional cop can be such an idiot. How can he offer such a low level press conference yesterday?Gari limebadilika plate namba na rangi ya kibao ni ya njano
Siwezi kuwataja bila ithibati... Nimeitaja kampuni husika kwakuwa ndio ilikuwa inahusika kwenye nyaraka kuwa huo mzigo ni wake... Hata vyombo vya habari vilitaja kampuni na sio watuNami nimeweka kumbukumbu tu kuwa MO hawezi kuhusika moja kwa moja. Mbona hujamtaja Mwinyi na mke wake? Hujui alivyohusika? Kamwuulize Mrema, ana kila kitu kuhusiana na hilo sakata.
How? Go ahead tell usUmenikumbusha huo mchele ulikuwa wa Dewji
Hapa ndio naukumbuks ule msemo wa "FOR EVERY FORTUNE THERE IS A CRIME STORY"Punch Line ni hii...
" Mbele ya nuru ya mafanikio ya matajiri nyuma yake kuna giza lililojaa udhalimu tupu.....
Ngazi za kuwafikisha watu wengi kwenye kilele cha mafanikio ya kibiashara zimeshikiliwa na mafuvu na mifupa ya wahanga wengi sana! "
Hebu wekeni recap ya tukio hilo, full documents ili tujadili vyemaWatakuelewa wachache sana. RIP Dr. Fupi mzalendo uliyepotezwa na walafi.
Utakuwa mtu wa ajabu na najua utajitetea na hata watu wengine wanaweza kukutetea. Kiongozi wa nchi wa wakati huo - Mwinyi ndiye aliyekuwa msitari wa mbele kwa kuruhusu unga wa ngano na mchele wenye sumu kwa sababu alikuwa na maslahi nalo.Siwezi kuwataja bila ithibati... Nimeitaja kampuni husika kwakuwa ndio ilikuwa inahusika kwenye nyaraka kuwa huo mzigo ni wake... Hata vyombo vya habari vilitaja kampuni na sio watu
Kwakua bidhaa iliingizwa sokoni, Leo ni zaidi ya miaka 27, VP matokeo ya waliokula, walidhurika?Alfajiri ya leo tarehe 20.10.2018 imepokelewa na watu wengi kwa furaha kubwa baada ya kuenea taarifa za kupatikana salama mfanyabiashara kijana bilionea Mohammed Dewji... Ni furaha kwa familia, ndugu jamaa na marafiki na wale wote wasioamini katika udhalimu.....
Mwishoni mwa utawala wa rais Ali Hassan Mwinyi (CCM) mwaka 1989-90... Lilitokea jambo baya sana lililoitia nchi yetu DOA kubwa sana... Mauaji ya kutisha ya Dr. Fupi aliyekuwa mkemia mkuu wa serikali kipindi hicho... Uzalendo wa nchi yake... Utu wema wake, uamunifu na chuki dhidi ya rushwa vilisababisha maisha yake yakatishwe... Akiacha mjane na watoto wawili
Udhalimu, uchoyo, ubinafsi kukosa huruma, hamu kubwa ya kupata kuliwafanya watu wanaojifanya watu Mungu sana kusahau utu wao na kufanya ukatili mkubwa kwa mtu aso hatia! Wakaichukua roho yake mchana kweupe, na kuiachia familia yake majonzi makubwa na machozi ya milele!
Nini kilitokea!?
Kulikuwa na kampuni moja iliyokuwa inajishughulisha na uuzaji wa nafaka... Kampuni hii ilikuwa na mabohari makubwa hapa DSM... Basi kukawa na uhitaji mkubwa wa mchele na ngano kipindi hicho, na kampuni husika ikaingiza tani za kutosha ili wananchi wapate chakula na kampuni ipate pesa
Mchele ule uliingizwa toka uarabuni kupitia Zanzibar nadhani.. Habari zikavuja kwamba mchele ule haukufaa kwa matumizi ya binadamu, ulikuwa umeshaharibika... Kuthibitisha tuhuma hizi ikabidi mkemia mkuu wa serikali aitwe kuupima...!
Mkemia akafanya kazi yake kwa uaminifu na weledi mkubwa akishirikiana na senior lab technician mmoja... Hawa wawili wakaheshimu kiapo chao cha kazi.. KUTENDA KWA WELEDI NA UAMINIFU... Dr Fupi akatoa majibu yake kuwa mchele ule haufai kwa matumizi ya binadamu, yoyote ayakayeutia atapata madhara makubwa ya kiafya yajayo taratibu....
Wenye mali wakapingana na majibu ya mkemia mkuu wa serikali... Malumbano yakaanzia hapo, vitisho nk... Lakini Dr Fupi akashikilia msimamo wake!
Mwishoni mwa wiki ile ya malumbano Dr Fupi akiwa nyumbani kwake akapata ugeni.. Kuchungulia getini akaona hawa si watu wema kwakuwa walikuwa wanaparamia ukuta... Dr kwa haraka akaomba msaada wa polisi wa vituo mbalimbali (alikuwa anaishi Oysterbay)
. Kituo no moja simu ilikuwa busy
. Kituo no mbili gari haikuwa na mafuta
. Kituo no tatu kilipokea wito lakini wakafika kwa kuchelewa kidogo...
Watu wale wabaya waliingia ndani kwake kwa kuvunja mageti na milango na wakamkuta Dr akiendelea kuomba msaada.. Walimkatakata mpaka akakata roho.... Wakaondoka bila kuchukua kitu chochote...
Wiki iliyofuata msaidizi wake akakaimu nafasi yake na kutoa haraka cheti cha ubora wa mchele husika na bidhaa husika ikaingizwa sokoni, huku familia ya Dr Fupi ndugu na jamaa wakiwa kwenye majonzi makubwa ya kumpoteza baba yao... Yule senior lab technician pia alikufa inasemekana kwa sumu....
Kampuni husika ilituhumiwa sana kwenye hili lakini wakati huo Mzee Malecela akiwa mwenye nguvu kubwa akalimaliza ajuavyo yeye....
Maneno ya Mungu yanasema ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa mbinguni.. (Ngamia sio mnyama ni lile kamba kubwa la kushikilia chombo kinapoweka nanga ufukweni ama baharini)
Mbele ya nuru ya mafanikio ya matajiri nyuma yake kuna giza lililojaa udhalimu tupu.....
Ngazi za kuwafikisha watu wengi kwenye kilele cha mafanikio ya kibiashara zimeshikiliwa na mafuvu na mifupa ya wahanga wengi sana!
Ni weekend ya furaha MO kapatikana.... Ni weekend nyingine ya huzuni kubwa kwa familia ile ya Dr Fupi iliyopokwa mpendwa wao hali wakiwa bado wanamhitaji sana... Nitamlilia daima shujaa huyu wa uzalendo asiyekumbukwa popote! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hapana kabisa hata mimi siwezi kusema hivyo... Kutekwa kwa MO kuna mkanganyiko mkubwa ndio maana sikugusia hilo bali furaha ya kupatikana kwake ilivyokuwa kubwa.... Ni wakati huu wengi wakifurahi familia ya Dr Fupi aliyekuwa mkemia mkuu wa serikali bado inaomboleza kifo cha babayao aliyenyofolewa roho yake kwa ukatili mkubwa... Si kwamba alikuwa na kisasi na mtu la hasha uzalendo wake na kusimamia haki ndio vilimponzaWasiwasi wanngu ni kuwa, sidhani kama kutekwa kwa MO na vyombo vya usalama, motive ni umafia uliowahi kufanywa na kampuni yake, baba yake au labda na yeye kuna sehemu amefanya umafia. Sababu za kutekwa kwake zinaweza kuwa ni za Kibashite. Siku wakiwateka Ali Hassan Mwinyi na Mkapa, ndipo nitawaelewa - hao marais wameua watanzania wasio na hatia kuliko mtu mwingine yeyote yule.
WamKashoghi kwa kosa lipi?Hivi wakuu kupatikana kwa Mo kunahusisha jitihada za polisi au ni watekaji waliamua tu kumrudisha wenyewe?
Ila tunashukuru hawajamkashoghi.