Ni kweli kuwa aliwahi kukoswakoswa kupigwa pingu Dubai,ila alifanikiwa kuepuka mtego na hatimaye kurudi sauzi!! Interpol waliboronga pale emirate,wakamwachia mwanya bila kujua,na walipokuja kujua kosa lao jamaa alishatambaa zake kitamboooo.

E=Ukwaju;12027620]Christopher Alex Massawe sio mtoto wa Kidumbuyo (Alex Massawe)
ila ni mtoto wa Dominic Massawe wa Dodoma, alizaliwa Dodoma kusomea na kuanza mpira Dodoma kabla ya Simba[/QUOTE]
Msipende kujibu vitu ambavyo hamvijui,kidumbuyo anaingiaje kuwa Alex Massawe??????kwa kukusaidia tu Kidumbuyo ukoo wake ni Mallya na hawana uhusiano na huyo Alex