Alert: Tujihadhari matapeli mlimani city

Alert: Tujihadhari matapeli mlimani city

Theft by trick duh pole saana mkuu ila kama vile umewapa hiyo laptop!!Je wakisema walikulipa utaprove kivipi maana inaonekana kama batter trade.
 
Mwanajamii mwenzetu kweli kafanya kosa,
But respond ya members hapa kweli inakatisha tamaa.
Yaani badala ya kumpa pole ndio tunazidi kumsema vibaya, eti "kajitakia mwenyewe" kweli?
Hatuamini kwamba ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu.
Mimi kwa maoni yangu inawezekana hao jamaa sio matapeli, labda tu mazingira yamewavutia kutapeli,
Pengine huko chooni alikokuitia ni kwenye ile ATM ya NMB, na pia sidhani kama ni yeye au uliebaki nae garini ndie aliekushauri utoke uache Laptop, wewe tu kwa Imani zako.
Kama hisia hizi ni za kweli, basi hata namba za gari yao zaweza kua sahihi na laini za simu pia sio magumashi (zimesajiliwa kihalali),
Tuanzie na makampuni ya simu, pia jaribu kubahatisha kama wapo tigo pesa kama alivyosema mdau mmoja hapo juu,
Pia kwa namba za gari waweza kucheki na TRA ingawa inaweza kuchukua muda kumpata (katika gari 4 nlizo nazo, ni moja tu ina kadi ya jina langu).
Pia katika huko kote, epuka kuhonga sana, kwani mwisho wa siku waweza kujikuta umeuza ng'ombe kwa kesi ya kuku!!!
 
pole sana!!hiyo namba ya gari itakuwa feki na simu pia haijasajiliwa,sio rahisi sana kuwapa ila nakuombea ufanikiwe na utujuze
 
kottler Masoko

pole sana mkuu, mimi ninaamini jasho lako haliwezi kupotea, pamoja na wewe kukiri kuwa mzembe lakini mimi nakuchukulia kama mtu jasiri uliyekuwa na nia na imani dhati ya kufanya biashara lakini hawa wakora ndiyo waliokua na dhumuni tofauti

ninakuombea sana uendelee kufanikiwa katika shughuli zako na wala usikate tamaa

pole sana
 
Pole mkuu. Nadhani response za kuuziana mlipeana humu jf? Unaweza kum-pm invisible ili hiyo I'd ifuatiliwe kuepuka members wengine kuwa mtegoni.
 
1. Hao maaskari wa parking nao ni wa kupiga makofi wote na kuwafukuza hapo,yaani we unawaambia umeibiwa eti ndio wanakupa advertise zingine ooh kuna mtu jana kalizwa hapa milioni 5,ina maana wao badala ya kujisifu wanavyokamata matukio wanasifu watu wanavyolizwa?
2.Kuna watu naona wanakukatisha tamaa mara sijui no. zitakuwa feki,ilimradi usiendelee kufuatilia inawezekana ndio waliokutapeli wanakuvunja moyo ili issue iishie hapa,usikubali hiyo namba ni ya TIGO kwa kuwa una RB nenda pale ofisini kwao waoneshe RB no. watakupa namba za watu aliokuwa anawasiliana nao siku za karibuni na hao ndio wataeleza.MI NINA UHAKIKA WATU HAO UTAWAPATA ukifatilia.

Yaani,nimeapa nitakufa no hwa jamaa,nshukuru data zangu zote zpo ktk external. Nimeongea na wale maaskari wa parking wanasema jana yke kuna dada kalambwa million 5 alikua ananunua gari toka kwa watu wa design hiyo. Thanks Mkuu.
 
Ukome, next time utakuwa na akili.
 
Mambo mazito leo yamenitokea hapa mlimani city,nilitangaza hapa jamvini kwamba nauza laptop,kuna jamaa mmoja akaniambia kwamba yeye anaitaka.baada ya mawasiliano ya takriban siku 2,leo akanambia tukutane maeneo ya mlimani city,alikuja na mwenzake na carina ya silver yenye namba hizi T443 BHN,baada ya kuangalia mali na kuipenda,jamaa mmoja akasema anaenda ATM kuchukua pesa,ghafla alipofka ndani akanipigia simu niende pale Merry Brown,na me kwa imani na amani nikaacha machine ktk gari yao na yule dereva wake,lakini nikawa na wasiwasi nikaandika kwanza namba ya gari ktk simu then nikaenda,nilipofika pale merry brwn ckumuona jamaa na nikampigia simu akawa ananielekeza kule vyooni,me ckwenda na nikatoka nje nikakuta ile gari yao inatoka kwa kasi,kupiga simu(0719359573) jamaa akawa hapokei na muda si mrefu ikawa haipatikani.then nikawa nimeibiwa laptop yangu kizembe zembe tu.nimeriport hii issue polisi udsm na RB ninayo,nataka ni deal nao slowly na Mungu ni mwema nitawapata wakiwa hai au vinginevyo.
Nikiwa kama mwana jamvi ninayetakia mema wanajamvi wenzangu,nimeleta hili swala hapa kwanza kama tahadhari kwa wale watu wanaouza vitu yasije yakawakuta,pili Jamii Forum iangalie kama kuna measures za kuweza kusaidia hawa matapeli kunaswa kwa kulitafuta hilo gari husika au simcard details na nikipita taarifa ktk PM niweze kushirikiana na mpelelezi kuwatia nguvuni hawa vijana wapenda jasho za wenzao.
Naomba kuwakilisha na Msaada wenu nitaushukuru sana.
Jihadharini Wadau!!

Aisee wewe ni kilaza sana tena hufai kuwa great thinker! Umewagawia Laptop hao jipange ununue mpya
 
m2mie mpesa,kiasi kiwe kikubwa zaidi ya ulichonacho kwenye acc yako ya mpesa,kuna sms itakuja kukujulisha huna salio la kutosha kwenda kwa ...utapata jina lake..after that waone wenye mtandao anaotumia watakusaidia kumpigia huyo mhalifu kwa ku2mia no yoyote aliyokuwa anawasiliana nayo.

Hapo hapo inatosha,...Usieleze sana kwani utawafumbua akili
 
Aisee wewe ni kilaza sana tena hufai kuwa great thinker! Umewagawia Laptop hao jipange ununue mpya

Nashukuru sana mdau, kwa kweli me kosa langu lilikua ni kuwaamini hawa jamaa na pia nimeshafanya biashara mara nyngi tu hapo Mlimani City na sijawahi pata hii zarau na deals zote zilikuwa znaclose pia normally huwa naku na company ila jna niliku mwenyewe tu,naamini kabisa ktk yote ya uzembe,ujinga etc lakini lengo langu ni kujulisha wadau wengine na kuwapa tahadhari wasije fanya mistake kama hii yangu. Kiongozi ningependa kukujuza kwamba Wanaokosea si wote hawana akili ndo maana nikaleta hpa jamvini kwa ajili ya kukosolewa,kusaidiwa,kuelekezwa,na si kutusiwa ya nguoni,I wonder why other people don't understand my courage an desire to help others not be trapped foolishly like this. Thanks for your disappointment character though!!
 
sure, stay blessed man
 
pole sana mkuu,gari uliiona ikitoka ungechukua tax kuwafukuza na hizi foleni ungewawahi..labda kama akili ilikua bado haijatulia,usijali sana hayo hutokea utapata nyingine.
 
Pole kaka dunia imeharibika ,usimwamini mtu kwa kumwangalia sura au kutokana na mtoko(tapeli sio tu anayetembea na miguu),jamani huyu ndugu pamoja na kuwa alifanya makosa kuacha mali yake kwa watu asiowafahamu haya mambo hutokea kwa yoyote ,unajua tena mtu unakuwa na mambo mengi kichwani,pole kaka hao jamaa wana laana hawajui masikini wa mungu kwa nini ulikuwa unauza laptop yako ,huenda una msiba,kesi n mtu kimfaacho ni kitu chake,hala hao washenzi watauza na hela inaishia Ambiance au Maisha
 
Mambo mazito leo yamenitokea hapa mlimani city,nilitangaza hapa jamvini kwamba nauza laptop,kuna jamaa mmoja akaniambia kwamba yeye anaitaka.baada ya mawasiliano ya takriban siku 2,leo akanambia tukutane maeneo ya mlimani city,alikuja na mwenzake na carina ya silver yenye namba hizi T443 BHN,baada ya kuangalia mali na kuipenda,jamaa mmoja akasema anaenda ATM kuchukua pesa,ghafla alipofka ndani akanipigia simu niende pale Merry Brown,na me kwa imani na amani nikaacha machine ktk gari yao na yule dereva wake,lakini nikawa na wasiwasi nikaandika kwanza namba ya gari ktk simu then nikaenda,nilipofika pale merry brwn ckumuona jamaa na nikampigia simu akawa ananielekeza kule vyooni,me ckwenda na nikatoka nje nikakuta ile gari yao inatoka kwa kasi,kupiga simu(0719359573) jamaa akawa hapokei na muda si mrefu ikawa haipatikani.then nikawa nimeibiwa laptop yangu kizembe zembe tu.nimeriport hii issue polisi udsm na RB ninayo,nataka ni deal nao slowly na Mungu ni mwema nitawapata wakiwa hai au vinginevyo.
Nikiwa kama mwana jamvi ninayetakia mema wanajamvi wenzangu,nimeleta hili swala hapa kwanza kama tahadhari kwa wale watu wanaouza vitu yasije yakawakuta,pili Jamii Forum iangalie kama kuna measures za kuweza kusaidia hawa matapeli kunaswa kwa kulitafuta hilo gari husika au simcard details na nikipita taarifa ktk PM niweze kushirikiana na mpelelezi kuwatia nguvuni hawa vijana wapenda jasho za wenzao.
Naomba kuwakilisha na Msaada wenu nitaushukuru sana.
Jihadharini Wadau!!

Aise pole ndugu yangu, jitahidi uwapate hasa kwa kutumia hizo namba za gari na za simu, tunakuomba uwafanyie kweli ili watumie debe jela.
Pole mno.
 
Pole sana ndugu..naamini msaada wa kuipata waweza tokea humu humu jamvini,huwezi jua labda nao wanaweza kwenda kuiuza na hata kama sio humu jamvini popote pale ila ndio huwezi jua pia labda mteja wao anaweza kutokea humu humu jamvini.mie naona kitu muhimu just specify hyo laptop ni model gani,specification zake na hata data gani zilikuwa humo ndani..mie almost daily na;etewa laptop za kuuza au kununua huwezi jua inaweza ikapitia kwangu so i believe kama ukinipa more specific info about the laptop na nikaja kukutana na inayoendana na details zako sitosita kuifatilia kwa umakini..
Last but not least pole sana.
 
Back
Top Bottom