Aleluya kuu

Kacharimbe

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
211
34
Wakuu heri ya pasaka. Katika kipindi hiki cha pasaka huwa naguswa sana na wimbo wa aleluya kuu. Nadhani wimbo huu ni tone moja karibu madhehebu yote ya kikristu duniani. Naomba mwenye nao aniwekee hapa au anitajie jina la wimbo huo kwa kiingereza ili niweze kusearch kwenye youtube. Nimetafuta madukani huku mikoani sijaupata. Nawatakia easter njema
 
Mkuu zinaitwa handel halleluya. Check kwenye youtube kama makulilo alivyosema hapo juu
 
Huu wimbo wa Alleluya Kuu ulikua ni mmoja wa nyimbo za Harusi yangu kanisani..May 1st, 2010. Wimbo wa Alleluya Kuu unafahamika kama hallelujah chorus, na Mtunzi wake ni George Frideric Handel. Hivyo uki-search kwa jina la Halleluya Chorus au Halleluya Handel utaupata, na utaona ni link ipi inaweza kucheza hapo ulipo.

PASAKA NJEMA

MAKULILO
 
Huu ni nuru kwa mataifa yote, naupenda sana ! unanirudisha kwenye mstari. Thanx na mimi nimeupata.Barikiwa
 
Huu ni nuru kwa mataifa yote, naupenda sana ! unanirudisha kwenye mstari. Thanx na mimi nimeupata.Barikiwa

Usisahau pia kuchek Master works nyingine by the same composer, like HANDEL MESSIAH ORATORIO, Handel ISRAEL IN EGYPT, Handel JUDAS MACCABEUS, Handel solomon, Handel Samson....hope u enjoy the CLASSICAL MUSIC.
 
Huu wimbo wa Alleluya Kuu ulikua ni mmoja wa nyimbo za Harusi yangu kanisani..May 1st, 2010. Wimbo wa Alleluya Kuu unafahamika kama hallelujah chorus, na Mtunzi wake ni George Frideric Handel. Hivyo uki-search kwa jina la Halleluya Chorus au Halleluya Handel utaupata, na utaona ni link ipi inaweza kucheza hapo ulipo.

PASAKA NJEMA

MAKULILO

Mkuu kumbe na wewe ulipata leseni siku ya mei mosi, the same to me ila nimekutangulia miaka kadhaa.
 
Back
Top Bottom