Albert Msando apotoka tena

Uwazi wa hili jambo ndio linakera wahafidhina!!!!!
Wanataka umma usikie ya upande mmoja tu!!!!!

Asante Msando kwa kuweka kila kitu hadharani na usichoke kila linalojiri weka hewani ili kama haki ikichukua mkondo wake basi asiwepo wa kulaumiwa au kulaumu!!!!!!

Hao wanasheria wenzio wanaojidai kulaumu hapa achana nao kama wana nia ya kweli wangejitokeza kabla hata kushauri tu lakini umeanza wao wanapaka rangi sasa,ni waoga na wasio na uthubutu kama nao sio wahafidhina!!!!!!

Udiwani nini bana; hili la kutishiana kuvuana madaraka kwa kila jambo ndio linafuga wanafiki hapo chamani sababu kwa hili kila mtu atafunga mdomo sababu ukisema wanakuvua madaraka. Kuna vichaka vitatu sasa "vikao halali", "utaratibu wa chama" na "kinyume na wadhifa wake" humu ndio mtikisiko wa chama ulipo!!!!

Vichaka vitatu!!
 
yaani bora yake huyu ambaye ameuliza kutaka kujua,
yupo mmoja eti nae anadai ni memba wa CDM tena mkereketwa halafu hajui maana ya neno KUVUVIWA eti anakosoa kabisa andika vizuri kuvuviwa ndo kitu gani sasa.........
siasa za bongo mashabiki vichwa maji viongozi wao vichwa nazi

mhhhh, kweli watu mna tabu sana.

yaani yeye 'kusema' kwamba hajui maana ya neno kuvuviwa which I suspect hata wewe pia hujui maana yake, ushafanya ndio mada yenyewe? I think you are better than this and strongly believe so!

kazi ipo aisee
 
na wewe uwe unasoma ukaelewa sentensi ama nikurudishie quotations??
huyo mdau alizodoa kwamba kuvuviwa limekosewa na si kwamba hajui maana yake
tena alisema kana kwamba he was sure kwa kudai "" ETI NA WEWE UWE UNAANDIKA VIZURI SASA KUVUVIWA NDO KISWAHILI GANI"" wewe hapo ungeelewaje??

kimsingi bado mnachemka sana
 
mhhhh, kweli watu mna tabu sana.

yaani yeye 'kusema' kwamba hajui maana ya neno kuvuviwa which I suspect hata wewe pia hujui maana yake, ushafanya ndio mada yenyewe? I think you are better than this and strongly believe so!

kazi ipo aisee

hahahhahhaah!!!!!!!!!ukiona neno nimelitumia jua najua sio tu maana bali hata historia yake kwamba lilitoholewa wapi na msingi wake ni upi.
mie ni malkia nwa kiswahili fasaha uliza uambiwe dogo usikurupuke..........
 
Nilipoisoma taarifa ya Albert Msando, mwanasheria wa Zitto Kabwe kwa vyombo vya habari nilianza kuwa na mashaka na uanasheria wake, au labda kafanya makusudi ili kutimiza malengo ya mwajiri wake!

Kwanza kasema kwamba Zitto hahusiki kwenye waraka waliotuhumiwa nao, ukiusoma kwa makini waraka huo, haikuingii akilini kwamba kweli Zitto hakuujua, watu wanapanga wafanye vikao siri ikibidi hata nje ya nchi na Mhusika Mkuu (MM) kama anavyotambuliwa na waraka asijue? Nonsense! Pia inavyoonyesha waraka ule ulikuwa na mzunguko wa watu wengi hata nje ya chama, na inaoneka CCM ya akina Mwigulu na wenzake ndio wafadhili wakuu wa waraka huo. Nilibahatika kusoma majadiliano ya email za kati ya Mwigulu na Nchimbi, kwanza wakipongezana kwa kuuteka mjadala wa katiba mpya na kuingia kwenye malengo ya CCM kwa asilimia kubwa na pili Mwigulu akimsisitiza Nchimbi afanye linalowezekana kifedha ktk mpango wa Zitto kuwa Mwenyekiti. Na anasema Zitto hakuarifiwa makosa yake na ailiyakuta kwenye kikao, Zitto alisafiri wakati wa kikao.
 
Chadema ni chama cha kinafiki tu hakina maana. Leo hii MUNGI anamuita mawalla freemason? Ilikuwaje wakakubali kupokea kiwanja walichopewa nae ? Huu ni zaidi ya ushirikina.
 
Sasa ni wakati wa sheria! !!!!

Maneno ya haiingii akilini sijui kutambuliwa na kusoma e-mail za watu yapelekwe kwa wanaohusika! !!!!!

Na hii ngoma naona itatia nanga Kisutu
 
Stop being over jubilant brother.Do you agree with him?Je wewe unakubaliana na hizo rhetorics kama Mwanachama wa CHADEMA?Be honest to ypurself!

Hawezi kukujibu huyo Masalia kwa sababu Tonge limemdondoka kinywani.Aliandaliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Waasi.
 
Hao ni USED CONDOMS Weka Mbali na Watoto haraka! Chekea Nyani ninyi... Sisi hatumo, Jikorogeni tena Mlambe Matapishi Kisa Maneno Mengi ya Kuifunga Kamba Taasisi toka Kwa ALBERT MSANDO, cha Msingi angalia Wapiga Kura Wanasema nini... Msipowafukuza Uanachama hawa, Walahi tunaapa Kwamba Madiwani wa ARUSHA Wote warudishwe ndani ya Chama, Madiwani wa ILEMELA (Matata & Chagulani) Warudishiwe Uanachama, akina Juliana Shonza, Grayson Nyakarungu, Habib Mchange, Mwampamba, Gwanchere na Wengineo Warudishiwe Uanachama Wao haraka sana! Kwa Sababu Wengi Wetu Mfano Mimi binafsi, 2mejiunga na CHADEMA baada ya Kuona Maamuzi haya Magumu ambayo hayajawahi Kuonyeshwa na Chama Chochote tangu Uhuru 1961. Ushauri: Ieleweke Wazi Kwamba Endapo hawa Wahaini na Wasaliti wa Wazi Wataachwa ndani ya Chama Kisa Umaarufu Wao, badala ya Kuhofia lolote, ni Muhimu Mtarajie Kuona Maajabu ya Wanachama na Wafuasi Wengi 2kirudisha Kadi zenu, Mfano Mzuri Njoo Mwanza Mjini Ujidai Kumtetea Zitto na Upumbavu wake Uone... NAWASILISHA MAKAMANDA!
 
Nilipoisoma taarifa ya Albert Msando, mwanasheria wa Zitto Kabwe kwa vyombo vya habari nilianza kuwa na mashaka na uanasheria wake, au labda kafanya makusudi ili kutimiza malengo ya mwajiri wake!

Kwanza kasema kwamba Zitto hahusiki kwenye waraka waliotuhumiwa nao, ukiusoma kwa makini waraka huo, haikuingii akilini kwamba kweli Zitto hakuujua, watu wanapanga wafanye vikao siri ikibidi hata nje ya nchi na Mhusika Mkuu (MM) kama anavyotambuliwa na waraka asijue? Nonsense! Pia inavyoonyesha waraka ule ulikuwa na mzunguko wa watu wengi hata nje ya chama, na inaoneka CCM ya akina Mwigulu na wenzake ndio wafadhili wakuu wa waraka huo. Nilibahatika kusoma majadiliano ya email za kati ya Mwigulu na Nchimbi, kwanza wakipongezana kwa kuuteka mjadala wa katiba mpya na kuingia kwenye malengo ya CCM kwa asilimia kubwa na pili Mwigulu akimsisitiza Nchimbi afanye linalowezekana kifedha ktk mpango wa Zitto kuwa Mwenyekiti. Na anasema Zitto hakuarifiwa makosa yake na ailiyakuta kwenye kikao, Zitto alisafiri wakati wa kikao.

ni kwel uliyoyasema..yule si mwanasheria...kwanza ni mwanachama wa ccm..jambo lingine inakuaje kwenye kikao zito na wenzake wakubali kuwa wamekosea halafu et huku nje anakana?? Kwan sis watoto??? Na iweje badala ya kujibu tuhuma anatafuta mwanasheria na kukata rufaa? Kwan alifukuzwa uanachama??? Yaan we upewe barua kazin ya kujieleza kufanya makosa,badala ya kujib tuhuma et unakata rufaa? Utakataje rufaa wakat hujahukumiwa?? Kusimamishwa uongoz si kufukuzwa uanachama..kuna tofaut ya kusimamishwa kazi au uongoz ili kupisha uchunguzi au kujitetea na kufukuzwa kazi au uanachama...zito na wenzake wamesimamishwa na kupewa barua wajibu tuhuma na wafike mbele ya kamat kuu kujieleza,badala yake wamekata rufaa huku mwingine (mwigamba) akikimbilia kwa msajili akilia asaidiwe,hiv si kuchochea kufukuzwa uanachama??? Wanang'ang'ania nn chadema?????
 
Nilipoisoma taarifa ya Albert Msando, mwanasheria wa Zitto Kabwe kwa vyombo vya habari nilianza kuwa na mashaka na uanasheria wake, au labda kafanya makusudi ili kutimiza malengo ya mwajiri wake!

Kwanza kasema kwamba Zitto hahusiki kwenye waraka waliotuhumiwa nao, ukiusoma kwa makini waraka huo, haikuingii akilini kwamba kweli Zitto hakuujua, watu wanapanga wafanye vikao siri ikibidi hata nje ya nchi na Mhusika Mkuu (MM) kama anavyotambuliwa na waraka asijue? Nonsense! Pia inavyoonyesha waraka ule ulikuwa na mzunguko wa watu wengi hata nje ya chama, na inaoneka CCM ya akina Mwigulu na wenzake ndio wafadhili wakuu wa waraka huo. Nilibahatika kusoma majadiliano ya email za kati ya Mwigulu na Nchimbi, kwanza wakipongezana kwa kuuteka mjadala wa katiba mpya na kuingia kwenye malengo ya CCM kwa asilimia kubwa na pili Mwigulu akimsisitiza Nchimbi afanye linalowezekana kifedha ktk mpango wa Zitto kuwa Mwenyekiti. Na anasema Zitto hakuarifiwa makosa yake na ailiyakuta kwenye kikao, Zitto alisafiri wakati wa kikao.

Nadhani wewe ndio unatakiwa kutiliwa mashaka uwezo wako wa kuelewa sheria maana unaonegea mambo ya kusikia pasipo kuwa na facts. Kwenye huo waraka kuna mahali popote jina la Zitto Kabwe limetajwa? Hata kama lingekuwa limetajwa kuna ushahidi kuwa alihusika kuuandaa? Leo mimi nikiandaa waraka nikaweka jina la Mbowe utalazimisha kuwa Mbowe anaufahamu? Mbona CDM wanataka watu waamini kuwa Video ya Lwakatare ni ya kutunga lakini haohao hawataki kukuli kuwa ZZK hausiki na kuandaa waraka Leta ushahidi kuwa alihusika kuandaa nasi tutakuamini.

Jaribu kuwa great thinker acha kusukumwa na chuki binafsi, mhukumu mtu basing on facts beyond reasonable doubts siyo kwa kusikia story za kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Stop being over jubilant brother.Do you agree with him?Je wewe unakubaliana na hizo rhetorics kama Mwanachama wa CHADEMA?Be honest to ypurself!

Maslahi ya Taifa kwa upana wake yanakandamizwa na hivy vichaka vitatu na sio kwenu tu!!!!
Vyama vyote ,mashirika ,makampuni na hata tenda zinatingishwa kupitia hivyo vichaka!!!!!
Tatizo lako huwazi zaidi ya CDM wewe jamaa!!!!!!

Wewe ndio uwe honest japo mara moja moja tu kwa faida ya hili Taifa
 
Ben, nakubaliana na hoja ya vichaka vitatu. Kwanza haujui kama huyo aliyesema hayo maneno sio mwanachadema brother. Sio kila anayekosoa sio mwenzetu.

Pili, hoja yangu ni nyepesi sana. Ingeweza kujibiwa kwa NDIO au HAPANA.

Kwamba, je Kanuni zimefuatwa au la. Badala yake hoja inahama na kufanywa ni tatizo kati ya Albert na wanachadema wenzake au Albert na Chadema.

Na kuhamishwa huko kunafanywa makusudi na wale ambao ndio adui zetu. Wanajenga chuki kati yetu wanatuacha tuparuane.

We need to take a step back and think. And after all it's not as bad as its made to look. But only if we both wake up and stop it. My cent.
 
Back
Top Bottom