ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
msando,
siku hizi kuna watu miongoni mwetu wenye haki ambazo wengine hawana,wana haki
ya kuita press kumshutumu mtu lakini ni marufuku kwa anaeshutumiwa kujitetea hadharani,ni sahihi wao kuchafua mtu hadharan lkn anayechafuliwa anatakiwa kukaa kimya .
Dege wote wanye akinya bata kaharisha, mbona akina Tundu lisu,mnyika,dr slaa na mboe walieleza na kujibu tuhuma kwa waandishi wa habari? Hiki chama kimepoteza uelekeo hakifai kuaminiwa na kupewa ridhaa ya kutawala, wamejaa mimburaaaaaa tu, nawasiwasi na taaluma ya heche,saanane malemo yaricko na wajingawajinga wengine wa chadema.Wamejaa chuki,ujuha na uzadiki.
Hili nalo lilisemwa kwenze press conference ya leo kuwa huwezi kumlaumu mtu kutokana na watu wanaomuunga mkono.
Unakumbuka Obama alipata endorsement ya Luis Farkhan, Hillarz Clinton akataka kuitumia hizo against Obama kisiasa. obama alijibu kirahisi tu "I cant be punished just because some guy likes me!".
Kama mtaendelea kuchukuia watu just because wanaungwa mkono na watu ambao hawawaungi nzinzi mkono basi jueni kuwa hampo kwenze siasa, mko kwenye biashara ambayo ni tofauti kabisa na siasa.
Watu kama Msando ndio wanaoweza kuirudisha Chadema kwa wanachama. Nyinyi mliozoea kwenda kama mbuzi anayepelekwa machinjoni have nothing to offer.
Huyo anafanya Kazi aliyotumwa na CCM.
Kuna wachangiaji humu inabidi nyie wasemaji wa CDM muwajue misimamo yao.
Unapiga risasi wrong target! Watch careful your aim!!
Mimi nimeliripoti hili jioni hii kwa katibu wake wa mkoa Kamanda Basil Lema
Mimi nimeliripoti hili jioni hii kwa katibu wake wa mkoa Kamanda Basil Lema
hivi mwanasheria na diwani inaishi nyumba za wanaume wezako kama demu inajisikiaje mwanaume kukuoa nyumba ukae bure na kukununulia magari ya kifahari au ni vipi Msando hatukuelewi yaani nyaga anakihudumia kuliko anavyoihudumia familia yake..
Umekasirika kweli mkuu, utakuwa umeudhika kweli kweli!!!!!Yaani nyie CHADEMA mnakera sana siku hizi.
Why don't y'all just go away for sometime. Just take time out and disappear from the face of the earth and then come back after a month or two.
Mwaikenda,
1. Kutetea utawala wa Sheria na tafsiri sahihi ya Katiba yetu ni kubomoa chama? Ndio mimi ni Diwani lakini itakuwa ajabu sana kusema kwamba kumtetea Zitto lazima nijiuzulu kwanza. Mimi sio mjumbe wa Kamati Kuu, Baraza Kuu wala Mkutano Mkuu. Mgongano wa maslahi unatoka wapi? Naweza vipi kuathiri maamuzi ya vikao hivyo?
2. Je marekebisho ya Kanuni ya 2013 yalijumuisha kwamba kukiwa na dharura utaratibu uliotajwa kwenye kipengele (a) usifuatwe? Kwa nini kipengele kilichoongezwa cha (d) kilitaja utaratibu ambao hautafuatwa ni ule wa (b) na (c) peke yake? Hilo unalielezeaje?
3. Kikao cha Kamati Kuu kilikuwa kikao cha dharura? Waraka husika ulikamatwa siku hiyo hiyo ya kikao au jana yake kwa hiyo ikabidi maamuzi ya dharura yafanyike?
Kama ilikuwa ghafla hivyo kwa nini asingesimamishwa uongozi, apewe mashtaka kama Kanuni inavyosema halafu asikilizwe kwa dharura na adhabu itolewe ya kumvua uongozi? Dharura sio haraka kaka.
4. Kupewa taarifa rasmi kwa maandishi na mwenendo kupelekwa Baraza Kuu ni taratibu ambazo lazima zikamilike ili muadhibiwa aweze kukata Rufaa. Ndio maana taarifa ya nia imetolewa ili taratibu hizo zikamilike. Hakuna niliposema nataka mwenendo wa shauri. Tunachotaka ni taarifa rasmi ya maamuzi.
5. Mwenendo unatakiwa umefika Baraza Kuu ndani ya siku 14 toka tarehe 22/11/2013. Je umefikishwa?
Tusijadili kwa jazba na hasira. Mimi kueleweshwa kwa hoja ni mwepesi sana. Fanya hivyo na kama uko sahihi nitaconcede. Lakini sitaconcede kisa tu utasema akili au uelewa wangu mdogo.
Ahsante.
Msando nafikiri ni mtandao wa mafreemason, unakumbuka nyaga mawalla alivyowaua watu wengi sana
Mbona mashitaka ya zitto tulifahamishwa kupitia press conference ya slaa, Lissu na Mnyika? Au tatizo lako ni serena? Kesi ya Zitto ni public issue.
Pili katiba ya chadema sio siri, kwa nini baadhi ya watu hamtaki ijadiliwe hadharani, kuna nini cha kuficha?
Muulize Idadi ya wanawake alionao!! Siasa kavamia tuu huyu, na ndio maana yuko chadema.
nashindwa kuelewa kwann watu wanapata shida na huyu Albert kumtetea Zitto.
kwanza kabisa ikumbukwe kwamba wakati Zitto akiwa katibu wa DARUSO Albert alikuwa ndo sika wa bunge lenyewe so they worked together and become close friends.
ishu ya wkamba kwann anamtetea mimi sion kama kakosea as yeye ametoa msimamo wake na kajieleza kulingana na upeo wa akili yake na kwakua mimi sio mtaalam sana wa sheria sina la kuchangia.
Ishu inayonisumbua mimio ni kwamba hivi kwann nyie CDM mnataka kubrainwash watu?? yaani mwez wote huu ishu ni CDM na zitto wake basi, huyu akiita waandish wa habario huyu atakuja na slaa kazomewa mara mbowe kasema hivi. Hivi tanzania hatauna mambo mengine ya kujadili badala ya kujadi9li kataaasisi kama ka CDM ambako kwanza mfumno wake tu wa kuiongoza hautofautian na mfumo wa kuongoza familia??
yaani inaboa sana kila saa cdm cdm bora hata dua la Nyani Ngabu lifike kwamba mpotee wote kwenye uso wa dunia kisha mrudi mkiwa na akili tofauti kidogo
JF,
Issue sio Msando Albert ni nani au kwa nini anatetea.
Issue ni rahisi natetea nini na utetezi wangu uko based kwenye nini.
1. Utaratibu wa kumvua Zitto nyadhifa haukufuatwa.
2. Sababu zilizotolewa ni circumstantial. Hazijitoshelezi. Zote zinatokana na waraka wa Mwigamba.
Kabla ya kutukana, kudharau na kukejeli yajadiliwe ninayoyasema na sio mimi.
Kama kijana, mwanachadema mwenye taaluma ya Sheria nina wajibu kusema haya. Sasa nikosolewe makosa yangu kwa nafasi hizo tatu na sio vinginevyo.
Mpaka sasa hakuna mahali ambapo hoja inatolewa ya wapi sistahili kusemea. Jazba hazijengi wala kuelekeza njia sahihi kama lengo ni kujenga.
Ila kama nia ni kupiga story tu kumaliza siku ni sawa pia.
daaah hii kali aise.......albert atamuelewesha mteja wake maana katika mambo ya sheria kuna kufuata maelekezo ya mteja wako pia kunakumshauri mteja kuendelea na kesi ama kutoendelea nayo ila ukiwa na tamaa ya fedha lazima utaforce kesi endelee hata kama unajua mteja wako atashindwa kesi......tumpe mda wakili nguli na diwani wa chadema
Umekasirika kweli mkuu, utakuwa umeudhika kweli kweli!!!!!