mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 93,955
- 132,293
CHADEMA watamkumbuka sana ZITTO.
Kwa lipi! Kumbuka chadema wamepita wanasiasa wengi tu na mpaka sasa hawa si kiki.
Chadema ndy kimempa zito umaarufu
CHADEMA watamkumbuka sana ZITTO.
Which came first the escrow scandal or Zitto's removal from the party?. I think Mr. Msando is trying to insinuate indirectly the negative involvement of Chadema in the scandal, which I find to be very pathetic.
Kwa hiyo katiba ya chadema inatumika kwa zitto tu, kwa Mbowe haitumiki
Kuna tatizo na hili kama watanzania wako makini inabidi liwe funzo kubwa. Watanzania wanahitaji chama mbadala cha kuwaletea matumaini. Na Mara nyingi pa kukimbilia huwa ni chadema Kwa Kuwa ndo tu chama kikubwa. Watanzania hatuna utamaduni wa kusoma kwani hata katiba yetu mama hatuijui. La hili linatakiwa liwe fundisho kwani wanasiasa ni watu hatari sana duniani kote. Tunahitaji tuzibebe katiba zote tuzisome ili tuzielewe. Chadema imeonyesha kwa namna mbali mbali Kuwa katiba yake imebakwa na viongozi wachache. Basi inaniaminisha Kuwa kwa kuwa sisi si wasomaji kuna kila uwezekano wa Kuwa na vipengele vya kuwaandaa akina Mugabe wa Tanzania kwani wanachama wameshajengewa utamaduni wa ndio mzee. Viongozi hawasemwi na hawaguswi na yeyote. CCM imetutawala na katiba yake tunaijua ila imechafuliwa na viongozi wake. Ni dhahri haina hizo chembe za ukandamizaji. Basi nawashauri watanzania wenzangu tuamke tuzisome katiba za vyama vyetu. Mpaka hapa nashindwa kuamini kwa dunia Ya leo kama kuna chama kinaweza Kuwa na katiba inayokandamiza utafutwaji wa haki. Na tumeshuhudia katiba ikibadirishwa kinyemela ,kwa Kuwa watanzania hawako serious wa nashindwa kupata message inayotumwa na hao wanaotaka utawala.na hii inatakiwa Kuwa message tosha kwani leo wanakandamizwa wanachama kesho utakuwa umma wote wa watanzania.Chadema imeinuka kipindi cha huyo huyo zitto na Slaa kipind yuko bungeni.......hili linaonekana dogo ila litawacost sana me binafsi nilikuwa naikubali sana Chadema hata kwa usaliti wanaosema ameufanya sidhani kama kilichofanyika kitakijenga chama ukilinganisha kama wangeendelea kumuacha huku akiwa katika uangalizi wa kila mipango anayoendelea kuifanya....
Hapa kinachoonekana ni mgongano wa maslahi wasituambie chochote.
Mwanasheria ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;
1. Amehoji je, kama CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?
2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.
3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?
4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?
5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.
6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.
7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.
9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.
Chanzo: Clouds TV
swali la mdingi, nani mwenye mandate ya kumfukuza zitto?
Swali la mdingi, nani mwenye mandate ya kumfukuza ZITTO?
Ninavyomjua Zitto anaweza akawapiga U-turn hata ACT mkashangaa anaingia TLP au NRA...Ngoja muone siku atakapoamua...Ila kwa upande wangu naomba Spika Makinda asikubaliane na CDM amwache mpaka bunge litakapovunjwa July, maana jamaa bado anamajukumu makubwa ya kumalizia eg Escrow, TPA, Pesa zilizoko Uswis etc
Tutammis sana kwenye Bunge lijalo, au ikiwezekana awe mbunge wa kuteuliwa kama Mbatia..maana jamaa bado tunamhitaji sana kwenye siasa za Tanzania ya leo.
CHADEMA watamkumbuka sana ZITTO.
Nyinyi mbona vipengele vya katiba mnachagua? Alichokikanyaga mbowe mbona hakuna mwenye guts za kusimama na kumsema? au mnachagua nani wa kubanwa na katiba,acheni unafiki kama ni katiba basi imbane kila anayeivunja.
Kuna tatizo na hili kama watanzania wako makini inabidi liwe funzo kubwa. Watanzania wanahitaji chama mbadala cha kuwaletea matumaini. Na Mara nyingi pa kukimbilia huwa ni chadema Kwa Kuwa ndo tu chama kikubwa. Watanzania hatuna utamaduni wa kusoma kwani hata katiba yetu mama hatuijui. La hili linatakiwa liwe fundisho kwani wanasiasa ni watu hatari sana duniani kote. Tunahitaji tuzibebe katiba zote tuzisome ili tuzielewe. Chadema imeonyesha kwa namna mbali mbali Kuwa katiba yake imebakwa na viongozi wachache. Basi inaniaminisha Kuwa kwa kuwa sisi si wasomaji kuna kila uwezekano wa Kuwa na vipengele vya kuwaandaa akina Mugabe wa Tanzania kwani wanachama wameshajengewa utamaduni wa ndio mzee. Viongozi hawasemwi na hawaguswi na yeyote. CCM imetutawala na katiba yake tunaijua ila imechafuliwa na viongozi wake. Ni dhahri haina hizo chembe za ukandamizaji. Basi nawashauri watanzania wenzangu tuamke tuzisome katiba za vyama vyetu. Mpaka hapa nashindwa kuamini kwa dunia Ya leo kama kuna chama kinaweza Kuwa na katiba inayokandamiza utafutwaji wa haki. Na tumeshuhudia katiba ikibadirishwa kinyemela ,kwa Kuwa watanzania hawako serious wa nashindwa kupata message inayotumwa na hao wanaotaka utawala.na hii inatakiwa Kuwa message tosha kwani leo wanakandamizwa wanachama kesho utakuwa umma wote wa watanzania.
Swali la mdingi, nani mwenye mandate ya kumfukuza ZITTO?
Kuna structure katika chama Zitto alitakiwa kuzifata hili kudai haki yake.Kama alikuwa haziamini kwa nini aliendelea kuwa mwanachama wa Chadema.Ndo maana ata kwenye Katiba za vyama vya mchezo kama mpira,mtu akakimbilia mahakamani kuna adhabu Kali ya kufungiwa kutojihusisha na mchezo husika.Kwani katiba zao zimehainisha procedure za kufuata once hujaridhika na kitu na sio mahakamani.The same applies to Chadema.[/QUOTE
haaaaaa haaaa unajaribu kumlinganisha football association na political party???? Unalinganisha impact Ya political party na vyama vya michezo. Basi hamjakomaa kujua demokrasia ni nini na impact Ya political party kwa jamii. Na kama bado mnajilinganisha na vyama vya michezo mkajipange upya tutang'ang'ana na mafisadi Hadi kieleweke.
Ninavyomjua Zitto anaweza akawapiga U-turn hata ACT mkashangaa anaingia TLP au NRA...Ngoja muone siku atakapoamua...Ila kwa upande wangu naomba Spika Makinda asikubaliane na CDM amwache mpaka bunge litakapovunjwa July, maana jamaa bado anamajukumu makubwa ya kumalizia eg Escrow, TPA, Pesa zilizoko Uswis etc
Tutammis sana kwenye Bunge lijalo, au ikiwezekana awe mbunge wa kuteuliwa kama Mbatia..maana jamaa bado tunamhitaji sana kwenye siasa za Tanzania ya leo.