Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

Mwanasheria ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;

1. Amehoji je, kama
CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?

2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.

3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?

4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?

5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki
CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.

6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.

7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.

9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.

Chanzo: Clouds TV

kwi kwi

ati hizi ndio haoja za mwansheria au kanjanja mbona hoja nyesi sana
 
Albert Msando ni mweupe sana na mchanga sana kisiasa na upande wa kisheria. Yeye ndio kamfikisha zitto hapo alipo kwa kujifanya anajua kila kitu kumbe mbeleni ni giza.
 
Watu Kama Hawa Ndio Wanatukatisha Tamaa Kusomesha Watoto, We Kasoma Mpaka Kapewa Chet Cha Uwakili Arafu Uelewa Wake Ndio Huu! Aisee Hii Ni Hatari.
 
Sipendi kuingia kichwa kichwa linapokuja siasa za Kitanzania,Hapa niseme tu sababu hasa ya Zitto Kufukuzwa si hii ambayo tumeaminishwa kwenye vyombo vya habari,kuna sababu nzito nyuma ya maamuzi haya,ni suala la kuwahiana tu hapa.

Bora wewe mkuu,umelishtukia hili.Wengine bado hakujapambazuka.
 
Watu Kama Hawa Ndio Wanatukatisha Tamaa Kusomesha Watoto, We Kasoma Mpaka Kapewa Chet Cha Uwakili Arafu Uelewa Wake Ndio Huu! Aisee Hii Ni Hatari.

Ila Tundu Lissu ndiye anayepatia zaidi?
 
Albert Msando ni mweupe sana na mchanga sana kisiasa na upande wa kisheria. Yeye ndio kamfikisha zitto hapo alipo kwa kujifanya anajua kila kitu kumbe mbeleni ni giza.

Shida tu,amesema tofauti na mawazo ya Mwenyekiti.Kweli siasa uchwara hazijengi.
 
Mimi sio Mwanasheria but nashindwa kuelewa Katiba inasema atavuliwa au atafukuzwa huko kuvuliwa au kufukuzwa kunakuja automatic? Katiba inasema hivyo Je ni Lissu ndo Mwenye mamlaka hayo ya Kumvua au Kumfuta uanachama?

CHADEMA itashughulikia matatizo ya viongozi nawanachama kwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama, wala hata siku moja haitashughulikia mambo kama hayo Mahakamani. Mwanachama atakayeshindwa kufuata taratibu na ngazi za Chama hatavumiliwa na atafukuzwa uanachama.

Mwanasheria ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;

1. Amehoji je, kama
CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?

2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.

3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?

4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?

5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki
CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.

6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.

7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.

9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.

Chanzo: Clouds TV

Kumbe huyu Wakili Msomi Msando hayuko makini kama nilivyofikiri na kama tulivyoaminishwa kwa nyakati tofauti, kama hizi ndizo hoja zake za kutokea. Nilitarajia kuwa kipindi hiki chote kesi ilipokuwa pending wangalikuwa wameandaa Plan B lakini naona ni kama wamekurupushwa! Pia wote wanadhaniwa kuwa wanaifahamu Katiba ya Chama chao ikiwa ni pamoja na kuyafahamu mapungufu yake. Kama wakili msomi angepaswa kutambua na kumshauri mteja wake kuwa mapungufu hayo yanaweza kutumika kummaliza na hivyo ni vema akazane kutafuta suluhu ndani ya Chama kabla ya Mahakama kuamua! Naona walijiamini kupitiliza na wakabweteka!
 
Hiyo katiba ya chadema ilikuwepo tangia kipindi hicho Zitto akiwa kiongozi namhicho kipengele kinachosema mwanachama akienda mahakamani afukuzwe. sasa hapo cha ajabu mini?
 
Mimi sio Mwanasheria but nashindwa kuelewa Katiba inasema atavuliwa au atafukuzwa huko kuvuliwa au kufukuzwa kunakuja automatic? Katiba inasema hivyo Je ni Lissu ndo Mwenye mamlaka hayo ya Kumvua au Kumfuta uanachama?

CHADEMA itashughulikia matatizo ya viongozi nawanachama kwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama, wala hata siku moja haitashughulikia mambo kama hayo Mahakamani. Mwanachama atakayeshindwa kufuata taratibu na ngazi za Chama hatavumiliwa na atafukuzwa uanachama.

Duh..hawa sio wa kuwapa nchi.
 
Hiyo katiba ya chadema ilikuwepo tangia kipindi hicho Zitto akiwa kiongozi namhicho kipengele kinachosema mwanachama akienda mahakamani afukuzwe. sasa hapo cha ajabu mini?

Cha ajabu ni chuki, ubinafsi,ubabe,mihemko na kutokupenda mawazo tofauti.
 
Yaan watoto wa vigogo wa ccm, kipind hik hawana raha kbs, pole xna hiyo ndiyo CHADEMA, kila linalopangwa na ccm linaumbuka?
Naona mkuu unajifanya CHADEMA unaifahamu sana kuliko mimi.......nauku hata kadi ya chama huenda hauna....
 
Kila mwanasiasa ana mazuri yake na mapungufu yake 'Zitto' licha ya saa zingine suggestion zake kuwa za utata; deep down ni mwanamageuzi wa kweli alietaka uongozi hilo ndio tatizo lenyewe.

Wakati yeye anafanya siasa za maendeleo ya taifa viongozi wake wanafanya siasa kama lifestyle ya kufanikisha malengo yao binafsi including sehemu ya kujipatia kipato.

Sasa ukianza kuuliza habari za matumizi ya chama, kutaka uongozi na usimamizi wa rasimali za chama ujue wengine wataona kama vile unataka kuwatilia kitumbua chao mchanga wakati chama kimejaa vimada, ma-uncle, mashemeji, akina shangazi, madada, makaka. Halafu wewe uje utake uongozi aijulikani utalinda vipi maslahi ya wafahidhina kwa hivyo kwa ambitions zake kupitia CDM zitto was asking too much kutoka kwa taasisi ambayo imeridhika mahala ilipo.
 
Back
Top Bottom