Mwachen Ngwea apumzike...
Acha kuropoka mkuu... Taarifa ya kufa kwa madawa umeitoa wap????
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Hii tabia ya kuwa mna
msifia mtu anapo kufa tuiache MANGWEA hakuwa mtu mzuri ninaimani watu
alio washawishi kuingia kwenyekundi la kutumia madawa ni wengi sana,
kama tulikuwa tunampenda kwa kiasi hiki, mbona tulimuacha na hakusaidiwa
kama RC?,
Kwani rc tulimsaidia wote ama alisaidiwa na kaka mkuu? Huu ujumbe ni wa kaka mkuu. Haendi kwenye misiba ya maprofesa anaenda kumzika kanumba. Kwanza sijui kwa nini hakwenda kumzika ngwear
Simply Ngweir amekufa kwa overdose ya heroin...Acha kuropoka mkuu... Taarifa ya kufa kwa madawa umeitoa wap????
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
acha kufikiri kama hutumii akili yako,kwani mazuri yako ni yepi?Hata Hitler alikuwa ana mazuri yake japo alikuwa ni dikteta.
Wewe ni lazima utakuwa Ruge Mutahaber
no one is perfect ..hata wew una mabaya yako...na kuhusu taarifa za Ngwea kufa kwa madawa huyo ni uzushi...m2 the p hatumii madawa na mbona alipotea fahamu?wabongo achen ushamba wa kuzusha zusha...R.i.p Ngwea
Nawewe ni lazima utakuwa mtumia madawa
ndio maana nikasema watu hawajui lolote kazi yao kuropoka tu
Hizo nyimbo zake mnazo ziita nzuri zirimsaidiaje zaidi ya kumfikisha hapoalipo fika? acheni unafiki Biblia inasema, (maana ni afadhali Mbwa alie hai kuliko Simba aliye kufa MHUBIRI 9:4-6) pamoja na nyimbozake lakini alikuwamfu kiroho.liwe funzo kwetu
kweli luno...watu hawajui nini kimetokea...mtu anaishi manzese afu ngwea kafia south lakin anajikuta anaujua undani wa kifo na wakat waliokua south wenyew hawajui....M2the p ndo mjuaj wa yote...so tumsubirie siku afunguke