Albert Mangwea (Special Thread)

Wanaofanya poa kwenye game wapo, na ni wabunifu sana na hata baadhi wanapita mule ngwea alivokuwa anafanya. Kikubwa ni hatujampata ngwea ila wapo wanaopita njia za ngwea na tunainjoi vile
 
Fuatilia rappers kama raptcha, young lunya na wengine wengi wanafanya powa tena kwa ubunifu mkubwa sana. kibaya ni kwamba hakuna direct replacement ya mtu yeyote hapa duniani,kila mmoja anafanya kwa ukubwa wake.

Wanarap vizuri..sema sio kama ngwear .ngwair anarap,anasikika na anasikilizwa..ivi young lunya ana miziki minne sijui..nimeuskiliza mmoja tu sbb una vibe ila mengine amna kitu..ngwear ni album nzima huruki mziki ata mmoja..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom