engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
hakuachaRIP Mangwea!!! Sasa hao clouds fm, wameanza kurudia rudia nyimbo zake? Hakuacha wosia wasitangaze kifo chake?
R.I.P ALBERT
hakuachaRIP Mangwea!!! Sasa hao clouds fm, wameanza kurudia rudia nyimbo zake? Hakuacha wosia wasitangaze kifo chake?
i think poda au..
salam salam kwa kaka poda bilionea mwambie mdogo wako aache poda ale mmea
celewiii ila kama naic!!!
salam salam kwa kaka poda bilionea mwambie mdogo wako aache poda ale mmea
salam salam kwa kaka poda bilionea mwambie mdogo wako aache poda ale mme
ha ha ha ha hiyo ni picha yake akipiga maji aende kwenye mishe mishe! R.I.P ngwear!hahahaaa mkuu hiyo Avatar yako uliipata wapi? nimeipenda
kumbe kaka voda nilimsikia vibaya juma mchopangeKaka voda
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
redio ya washika ukuta kwa kushobokea ila wajue Lady Jay de akifa hakuna kumtangaza hata mimi nikifa hakuna kunitangaza...Kwa mujibu wa matangazo ya Radio Clouds FM, Mwanamuziki wa kizazi kipya Albert Mangwea amefariki leo huko Afrika ya Kusini. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana na wameahidi wakipata watatupasha. RIP Mangwea.