Albert Mangwea is Dead!

Albert Mangwea is Dead!

Ngwair kachelewa kututoka Mungu kajitahidi sana kumvuta hadi jana! jamaa poda zilizidi!hawa watoto wapunguze ulevi!nakumbuka nilivyotaka kumtandika ngumi Mr Blue mie nimeshakula viingilio vya watu ye ka-chill nyuma ya ukumbi anakula mzigo huku yuko tungi muda unaenda tu,nawashukuru maputo yangu ningeliwa mgongo siku ile pum..vu zao madogo hawa bora nimeokoka siku hizi!
 
kwa mujibu wa matangazo ya radio clouds fm, mwanamuziki wa kizazi kipya albert mangwea amefariki leo huko afrika ya kusini. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana na wameahidi wakipata watatupasha. Rip mangwea.
rip ngwair
 
Poleni sana wasanii wa bongo ila pia ina2bid 2jifunza maana kafa kwa madawa



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
may his soul rest in peac..! mashabik na vpenz wa ngwair accept my sincere condolence..... regardles of the reason 4 his death, the impact of his talent to all age no one wl forget!APUMZIKE KWA AMANI ALBERT AMINA.
 
Kama angejitambua angefika mbali sana kimuziki, dogo alikuwa mkali sana lakini hakujitambua. Napenda sana nyimbo yake ya She Gota Gwan.
 
Back
Top Bottom