La Pronto
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 975
- 1,164
Dah....nimekumbuka mbali had nimesisimkahubirini kwa kuimba st maurus kurasini humo utakuta wimbo bwana ni nuru yangu
Dah....nimekumbuka mbali had nimesisimkahubirini kwa kuimba st maurus kurasini humo utakuta wimbo bwana ni nuru yangu
Jamaa ni moto sasa hivi anakitu cha MIMINA NEEMA hii album ni nzuri sana.Dah Huyu Benard Mukasa ananikosha roho
Bado hujatengeneza?Nina mpango wa kutengeneza blog au website kwa ajili ya kuweka nyimbo za katoliki za zamani.