Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
Baada ya kufanya vibaya kwenye VPL wazee wa klabu ya mikia walisema watasoma al badil ili wanaohujumu timu yao.Baada ya kubatisha ushindi wa 3_2 dhidi ya Ruvu sijasikia tena ishu hiyo.Sasa jamani jana wamedraw na Prison,vipi albadil itasomwa lini??!!