Alama ya Apple, hii ina maana gani?

Kasilibiti

Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
26
Reaction score
4
Kila inapotokea charter ya apple imebandikwa, lazima tunda hilo liwe limekatwa kidogo pembeni.

Napenda kufahamishwa mwanzilishi alikuwa na maana gani kuandaa charter hiyo ikiwa imekatwa?
 
kujipa tu mawazo yasiyo na faida,aloanzisha alisema maana yake,wewe unataka maana yako
 
Kila inapotokea charter ya apple imebandikwa, lazima tunda hilo liwe limekatwa kidogo pembeni.

Napenda kufahamishwa mwanzilishi alikuwa na maana gani kuandaa charter hiyo ikiwa imekatwa?

Ni alama ya kishetani na kuzimu mchoro unaoonyesha nyoka Adam na Eva apple ni kiwakilishi cha 666,namba inayotawala dunia alama ya jinsi mwanadamu alivyoanguka dhambini hapa soma mwenyewe lingalisha na magari ya kisasa yenye vitaa vigogo vinavyowaka Sana hata mchana
 
Wakati jamaa anakula Apple lake hiku akiwaza jina la brand zake ndipo akaangalia lile Apple alilokua kashamega akaona iwe hiyo ndio maana unaona limemegwa

Huenda maana yako ndo ya ukweli
 
Kila inapotokea charter ya apple imebandikwa, lazima tunda hilo liwe limekatwa kidogo pembeni.

Napenda kufahamishwa mwanzilishi alikuwa na maana gani kuandaa charter hiyo ikiwa imekatwa?

Ile symbol inayoonyesha kitu kinachopendwa duniani (mahali popote) kote.kizuri,kitamu kisichoisha hamu. Yaani ni kama baadhi tunavyopenda mziki. NB: Akili za kuambiwa changanya na zako by Dr. TD
 
Attachments

  • 1444716751717.jpg
    25.1 KB · Views: 1,821
Apple Computers was cofounded in the 70s by Stephen Jobs, a weird, New Age guru-type, and Steven Wozniak, also an advocate of the Aquarian Age culture. When entrepreneurs Jobs and Wozniak first marketed their earliest, crude personal computer, they put a price tag of $666 on the product. 666! Coincidental--or on purpose? You decide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…