Alalama mkewe kutongozwa ofisini

Alalama mkewe kutongozwa ofisini

Wakuu suura....

Nina jamaa yangu kanipa kisa cha mkewe ambaye ni mfanyakazi wa shirika fulani, jamaa anadai mkewe kamwambia mfanyakazi mwenzie ambaye wanaheshimiana sana na wamekuwa pamoja ofisini miaka kadhaa kabla hata hajaolewa na jamaa yangu kwamba kaomba mzigo.

Jamaa yangu analalama mbona yule jamaa anafanya hivyo kuomba k kwa mkewe imekuaje! Binafsi nimemwambia hakika kuna mazoea makubwa yamekuwepo wakati huu tofauti na kipindi cha nyuma na huenda hayo mazoea ndiyo yamemshawishi jamaa kuomba mzigo ukizingatia jamaa yangu ye anafanyia kazi mkoa tofauti yaani ye yupo Geita.

Mkewe na family wapo Mwanza but jamaa yangu anakuwepo sana Mwanza mara kwa mara so nimemwambia ambane mkewe aseme imekuajekuaje wakati huu ndio aombwe mzigo lazima kuna namna ya ukaribu wny hisia za kmapenz na huwenda at last ataliwa tu maana wapo ofisi moja. Je, wakuu mnasemaje hapo au shemeji ameshaliwa kaja shtaki kama geresha tu.
Vitu vya kawaida tu, huyo jamaa yako, ni bado ni mshamba,wanawake kuombwa K, inatokea kila mahari, haijalishi, ni mke wa MTU, ni mama mchungaji, watu tunaomba K hata kwa "ma sister" Watawa!
Mke ataombwa K, uwepo nyumbani,au Uwe mkoani!
Mke anaweza akaombwa K, akatembezewa bakora na mpangaji mwenzio mlango wa pili tu! Na wewe unaishi hapo, sembuse upo mkoani!
Cha kumshauri concentrate ni kazi, maswala ya kufatilia mke na kutongozwa, utakufa kwa stress! Utazikwa uache watoto wapate shida, ulinzi, wa watoto na future Yao ni sie wa baba! Ukidondoka tu, Mke anaweza akawa kana watoto, au, akawapereka kijijini, kisa kapata njemba Ina "mtandika" Vzr na haitaki kulea watoto wa Dume jingine!
 
Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe. Kabla hujatoa neno pima kwanza athari za hilo neno. Angalia sasa umempa pressure ya bure mume wako.
 
Kutongozwa kwa mwanamke ni kawaida ila kutoa mzigo si kawaida.

Kikubwa mwanamke ajue tu kuilinda heshima ya mumewe (uchi wake). Halafu si busara kwa mwanamke kuja kumueleza mumewe kila pale anapotongozwa au kutakiwa kimapenzi. Jambo hili kuambiwa mwanaune huwa linatia hasira mno na pengine huweza kupelekea madhara /mauaji . Kikubwa mwanamke ambaye ameolewa akitongozwa anatakiwa akatae.Period
 
Huyo mke nae ni punguani, kwahiyo kila akitongozwa anaripoti?
Inategema ametongozwa na nani na namna gani? Hivi mimi kama ni rafiki yako na tunaaminiana, nikimtongoza mke wako akae kimya? Huoni hapo kuna walakini mkubwa. Tongoza ambazo mke anaweza kupotezea ni hizi za watu baki mitaani.
 
Utaishia jela kama wewe ni mbumbumbu. Mimi nakuleta mateja wanakukula kiboga na hufanyi chochote. Sana sana ni wewe utaishia jela kwa kosa la kujaribu kumbaka mke wa mtu. Unadhani haya mambo nitafanya ki-fala fala?
Kisha kesho yake demu analiwa tena na kidume mwingine utapeleka mateja mara ngapi?
 
Ungesoma basi ukaelewa badala ya kudandia! 1. Tunaongelea rafiki aliyekosa heshima na uaminifu na kutongoza mke wa rafiki yake 2. Tunaongelea mke mwaminifu aliyekataa kukubali kulala na rafiki wa mumewe. Ulijifunza kusoma kwa ufahamu?
 
Shida iko wapi mke wangu akipitiwa?
Shida iko kwenye jamii. Unadharaulika. Ila kwa upande wako inaweza isiwe shida hata kidogo kwa sababu kuna wanaume ambao mke anaenda kugawa mtaa wa pili wakati mume yuko kwa kimada mtaa huo huo, na wanaishi vizuri tu.
 
Siku zote kama mwanaume rijali usifanye huu mchezo.
Utaishia jela na mkeo atabaki mtaani ataliwa hata na jamaa mwingine.
Cha msingi weka sheria zako ili mwanamke aone kutoa mzigo ni kosa la jinai. Mimi siwezi kuhangaika na mwanamke, mwanamke akiamua kutoa mzigo anatoa tu
Kabisa mkuu. [emoji1666]
 
Wakuu suura....

Nina jamaa yangu kanipa kisa cha mkewe ambaye ni mfanyakazi wa shirika fulani, jamaa anadai mkewe kamwambia mfanyakazi mwenzie ambaye wanaheshimiana sana na wamekuwa pamoja ofisini miaka kadhaa kabla hata hajaolewa na jamaa yangu kwamba kaomba mzigo.

Jamaa yangu analalama mbona yule jamaa anafanya hivyo kuomba k kwa mkewe imekuaje! Binafsi nimemwambia hakika kuna mazoea makubwa yamekuwepo wakati huu tofauti na kipindi cha nyuma na huenda hayo mazoea ndiyo yamemshawishi jamaa kuomba mzigo ukizingatia jamaa yangu ye anafanyia kazi mkoa tofauti yaani ye yupo Geita.

Mkewe na family wapo Mwanza but jamaa yangu anakuwepo sana Mwanza mara kwa mara so nimemwambia ambane mkewe aseme imekuajekuaje wakati huu ndio aombwe mzigo lazima kuna namna ya ukaribu wny hisia za kmapenz na huwenda at last ataliwa tu maana wapo ofisi moja. Je, wakuu mnasemaje hapo au shemeji ameshaliwa kaja shtaki kama geresha tu.
Kama mke ndo kasema jamaa anaomba mzigo basi msimlaumu sana mwaname huyo ambaye anajiheshimu.

Cha msingi jamaa awe makini na kauli zake kwa mkewe la sivyo mzigo unaachiwa
 
Inategema ametongozwa na nani na namna gani? Hivi mimi kama ni rafiki yako na tunaaminiana, nikimtongoza mke wako akae kimya? Huoni hapo kuna walakini mkubwa. Tongoza ambazo mke anaweza kupotezea ni hizi za watu baki mitaani.
Huyo sio rafiki ni mtu baki tu, kusema kila akitongozwa kunahatarisha upendo wao
 
Wakuu suura....

Nina jamaa yangu kanipa kisa cha mkewe ambaye ni mfanyakazi wa shirika fulani, jamaa anadai mkewe kamwambia mfanyakazi mwenzie ambaye wanaheshimiana sana na wamekuwa pamoja ofisini miaka kadhaa kabla hata hajaolewa na jamaa yangu kwamba kaomba mzigo.

Jamaa yangu analalama mbona yule jamaa anafanya hivyo kuomba k kwa mkewe imekuaje! Binafsi nimemwambia hakika kuna mazoea makubwa yamekuwepo wakati huu tofauti na kipindi cha nyuma na huenda hayo mazoea ndiyo yamemshawishi jamaa kuomba mzigo ukizingatia jamaa yangu ye anafanyia kazi mkoa tofauti yaani ye yupo Geita.

Mkewe na family wapo Mwanza but jamaa yangu anakuwepo sana Mwanza mara kwa mara so nimemwambia ambane mkewe aseme imekuajekuaje wakati huu ndio aombwe mzigo lazima kuna namna ya ukaribu wny hisia za kmapenz na huwenda at last ataliwa tu maana wapo ofisi moja. Je, wakuu mnasemaje hapo au shemeji ameshaliwa kaja shtaki kama geresha tu.
ukiona manyoya ujue.........
 
Alishapigia kitambo sana, awe mpole tu
 
MWAMBIE AENDE AKATONGOZWE YEYE SASA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom