Alalama mkewe kutongozwa ofisini

Alalama mkewe kutongozwa ofisini

Hivi unadhani nitafanya hivyo huku sijiamini na sina uwezo wa kukudhibiti? Unashughulikiwa kulingana na ulivyo.
Hii dunia ni pana sana. Usifanye kisasi ambacho hukijui mwisho wake.
Usije ukawa kama Hamas kwenye tukio la october 7 wakafikiri wamemaliza ila sasa kinachoendelea Gaza ni afadhali kuliko tukio la october 7
 
Hii dunia iache kama ilivyo kama unafikiri utamshughulikia huyo jamaa atambae kama mtoto akiamua kulipa kisasi sidhani kama utahimili.
Kumbuka una mtoto (watoto) na mke lolote linaweza kuwakuta. Cha muhimu nikukaa na mkeo aache mazoea na jamaa na ampige block.
Kwangu siwezi kugombana na mwanaume mwenzangu kwasababu ya mwanamke
Hunijui ndiyo maana unasema hivyo. Wewe ukiwa dhaifu unadhani kila mwanamme ni dhaifu?
 
Hii dunia ni pana sana. Usifanye kisasi ambacho hukijui mwisho wake.
Usije ukawa kama Hamas kwenye tukio la october 7 wakafikiri wamemaliza ila sasa kinachoendelea Gaza ni afadhali kuliko tukio la october 7
Nakumabiaje! Hunijui. Unaliwa kiboga na hutafanya lolote.
 
Nimegundua wewe unajisikia vibaya ninaposema hivyo kwa sababu au wewe ni wale watu ambao ndoa ni kitu cha casual sana na mwenz wako anaweza kutembeza huko na wewe ukatembeza huko bila kuwa na hisia zozote. Kunajamaa najua yuko hivyo, wao wanachojali ni watzae watoto tu. Umekulia Uswazi bila shaka.
Sivyo kama unavyofikiri. Ili umdhibiti mwanamke hangaika na mwanamke.
Mimi mke wangu kucheat ni kosa la jinai na muda wowote anaachwa nikigundua anacheat ila siwezi kuhangaika na mwanaume mwezangu kisa katongozwa.
Leo katongozwa na John, unaanda watu wakamfanyie umafia John, kesho katongozwa na Rashid unatuma watu wengine tena kumfanyia ubaya Rashid, kesho kutwa rafiki yako unaanda mtego tena.
Muda wote unahangaika na wanaume wenzako kumbuka kuna serikali na suala la mtu kulipa kisasi.
Usichokijua mwanamke anaweza kukuwekea sumu ufe akaishi na malaya mwenzake huko. Angalia mfano wa Stamina na Dullah Makabila ndiyo utajua mwanamke siyo wakuhangaika naye
Ni suala la kuwa na IQ kubwa
 
Hunijui ndiyo maana unasema hivyo. Wewe ukiwa dhaifu unadhani kila mwanamme ni dhaifu?
Hebu fikiria, leo mkeo katongozwa na Johnny umeandaa jamaa wameenda kumfanyia unyama Johnny, Kesho katongozwa na Abuu, umeandaa watu tena, wamefanya tukio, siku nyingine Rashid umeandaa watu tena.
Na jinsi kisasi kilivyo hawa watu wakiamua wanaweza kukata hata mikono au miguu na huyo unayejidai unampenda sana ukashangaa anakuacha anaolewa na jamaa mwingine.
Ni suala la kuwa na IQ kubwa tu, mimi mke wangu anajua suala la kuliwa ni kosa la jinai na ataweza kuacha muda wowote ule.
Kutongozwa hata kila mwanamke anatongozwa
 
Again, it seems like your reply is out of context. The issue I am talking about doesn't quite reflect what you are replying. Could you please focus on what I have said?"
 
Pamoja na kwamba hii ni chai...

Lakini muulize msela wako huyo, je mitongozo yote huyo mkewe huwa anaripoti kwake?
 
Nafikiri huyo mke analinda mambo yake yasijulikane ndio maana karipoti Hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom