Alalama mkewe kutongozwa ofisini

Alalama mkewe kutongozwa ofisini

Mwanamke ana akili za kitoto sana, ukiona mwanamke wako anakwambia serious kabisa eti fulani kanitongoza basi jua anajaribu kununua uaminifu, na ukimpa tu jua umekwisha.

Cha kufanya jamaa apotezee na achukulie kama utani tu na aone ni kitu cha kawaida kabisa mkewe kutongozwa la sivyo akijifanya kuanzisha shari, sijui ushenzi wa kumuuliza mgoni wake basi ahesabu maumivu.
 
Mwambie jamaa yako hakuna biashara isiyo na hasara.
Akitaka wake alone akatae ndoa
 
Wake za watu Wana waume wawili wa nyumba yaani wa ndoa na WA ofisini.
Yaani mume wa mchana na WA usiku na wote wanaridhishwa sawa
 
Yoooote haya uliyoandika yaonyesha kuwa wewe una tabia ya kutongoza wake za watu. Wewe una rafiki yako na unajua huyu ni mke wa rafiki yangu halafu bado unaenda kumtongoza, halafu unataka akukatalie tu bila kuchukuwa hatua! Walai ukikutana na mwanamke mwenye akili ni lazima uliwe kiboga kwanza ili ushike heshima kwa wake wa marafiki zako.
Unajua adhabu ya kumla mwanaume mwenzako kiboga?
Utafungwa jela miaka 30 halafu huyo mwanamke ambaye unamuona wa thamani sana, hatakuja kukuona na utateseka jela peke yako na ataolewa na kuzaa watoto.
Mwanamke yoyote ni kawaida kutongozwa na akiamua kumpa huyo rafiki yako papuchi utamzuia? Unaenda kazini, asubuhi anaenda kutoa mzigo.
Papuchi ni yake, akiamua kutoa huwezi kumzuia na atairudisha utaipiga na huwezi kugundua.
 
Utaishia jela kama wewe ni mbumbumbu. Mimi nakuleta mateja wanakukula kiboga na hufanyi chochote. Sana sana ni wewe utaishia jela kwa kosa la kujaribu kumbaka mke wa mtu. Unadhani haya mambo nitafanya ki-fala fala?
Usipoteze muda kumlinda mke wako kwenye suala la ngono.
Unakodi mpk mateja ili wamfanyie mwanaume mwenzako jambo baya kisa mwanamke?
Mwanamke akiamua kutoa papuchi hata uweke walinzi laki 2 ataliwa tu na siku zote usigombane na wanaume wenzako kwasababu ya mwanamke.
Mpaka kuombwa papuchi kuna mawasiliano walikuwa wanafanya hawezi tu akamuomba papuchi hivi hivi. Utaishia jela, hao mateja watadakwa na watakutaja tu ndiyo hapo utagundua kuwa mwanamke siyo mwenzako
 
Unajua adhabu ya kumla mwanaume mwenzako kiboga?
Utafungwa jela miaka 30 halafu huyo mwanamke ambaye unamuona wa thamani sana, hatakuja kukuona na utateseka jela peke yako na ataolewa na kuzaa watoto.
Mwanamke yoyote ni kawaida kutongozwa na akiamua kumpa huyo rafiki yako papuchi utamzuia? Unaenda kazini, asubuhi anaenda kutoa mzigo.
Papuchi ni yake, akiamua kutoa huwezi kumzuia na atairudisha utaipiga na huwezi kugundua.
Wapi nimesema mwanamke hatakiwi kutongozwa. Hapa tuna deal na mtu anayejua huyu ni mke wa rafiki yangu na bado kwa kudharau akamtongoza halafu mke anamkatalioa na kuja kumwambia mumewe. Ni lazima mateja wale kiboga chako. Na mimi siyo mjinga kama yule jamaa wa Ilala aliyekodi jamaa wakamlawiti mgoni wake huku yeye amesimamia! Mambo ya kihuni hujibiwa kwa uhuni. Utapigwa mande na mateja na hutajua ni mpini wa nani umekushughuhulikia na wala hutaweza kufanya lolote.
 
Hakuna kosa lolote la mke wa mtu kutongozwa hata kama ukienda mahakamani. Mimi hata nikigundua mke wangu katongozwa na akaniambia nitamwambia awe muangalifu.
Unahangaika na rafiki yako, je hao wengine wanaomtongoza?
Kingine unapofanya kisasi kwa mtu usifikiri ndiyo umemaliza maisha, naye akiamua kufanya ubaya utaishia pabaya
 
Usipoteze muda kumlinda mke wako kwenye suala la ngono.
Unakodi mpk mateja ili wamfanyie mwanaume mwenzako jambo baya kisa mwanamke?
Mwanamke akiamua kutoa papuchi hata uweke walinzi laki 2 ataliwa tu na siku zote usigombane na wanaume wenzako kwasababu ya mwanamke.
Mpaka kuombwa papuchi kuna mawasiliano walikuwa wanafanya hawezi tu akamuomba papuchi hivi hivi. Utaishia jela, hao mateja watadakwa na watakutaja tu ndiyo hapo utagundua kuwa mwanamke siyo mwenzako
Unajitoa ufahamu kwa sababu unazojua wewe. Halafu unapindisha kabisa maelezo na kuweka yako. Nimeandika wapi nitamwekea ulinzi mke? Nimesema kuwa wewe wewe unayejifanya rafiki yangu halafu unatumia advantage ya urafiki kumwa-pproach halafu akaja kuniambia kiboga chako kinahusika. Kama anatembeza huko au kama mkikubaliana bila mimi kujua sina neno. Sana sana nitamtimua tu. Lakini ole wako akukatalie na ripoti zinifikie. Chupa itakushughulikia.
 
Hakuna kosa lolote la mke wa mtu kutongozwa hata kama ukienda mahakamani. Mimi hata nikigundua mke wangu katongozwa na akaniambia nitamwambia awe muangalifu.
Unahangaika na rafiki yako, je hao wengine wanaomtongoza?
Kingine unapofanya kisasi kwa mtu usifikiri ndiyo umemaliza maisha, naye akiamua kufanya ubaya utaishia pabaya
Mbona unakuwa kama zoba? Nimesema wapi kutongozwa mke wa mtu ni kosa? Unadhani mimi ni mtoto kama wewe? Hapa kuna condition mbili nimeweka. 1. Mtongozaji awe rafiki yangu wa karibu 2. Mke awe mwaminifu na aje kuniambia. Kiboga kitashughulikiwa mpaka utatambaa kama mtoto.
 
Unajitoa ufahamu kwa sababu unazojua wewe. Halafu unapindisha kabisa maelezo na kuweka yako. Nimeandika wapi nitamwekea ulinzi mke? Nimesema kuwa wewe wewe unayejifanya rafiki yangu halafu unatumia advantage ya urafiki kumwa-pproach halafu akaja kuniambia kiboga chako kinahusika. Kama anatembeza huko au kama mkikubaliana bila mimi kujua sina neno. Sana sana nitamtimua tu. Lakini ole wako akukatalie na ripoti zinifikie. Chupa itakushughulikia.
Dunia ni pana sana, usimfanyie kisasi mwanaume mwenzako kwa sababu ya ujinga wa mwanamke.
Umelipa kisasi, naye akilipa? Utajikuta umeishia pabaya kuliko hata huyo uliyemuwekea chupa
 
Hivi unadhani nitafanya hivyo huku sijiamini na sina uwezo wa kukudhibiti? Unashughulikiwa kulingana na ulivyo.
 
Mbona unakuwa kama zoba? Nimesema wapi kutongozwa mke wa mtu ni kosa? Unadhani mimi ni mtoto kama wewe? Hapa kuna condition mbili nimeweka. 1. Mtongozaji awe rafiki yangu wa karibu 2. Mke awe mwaminifu na aje kuniambia. Kiboga kitashughulikiwa mpaka utatambaa kama mtoto.
Hii dunia iache kama ilivyo kama unafikiri utamshughulikia huyo jamaa atambae kama mtoto akiamua kulipa kisasi sidhani kama utahimili.
Kumbuka una mtoto (watoto) na mke lolote linaweza kuwakuta. Cha muhimu nikukaa na mkeo aache mazoea na jamaa na ampige block.
Kwangu siwezi kugombana na mwanaume mwenzangu kwasababu ya mwanamke
 
Mbona unakuwa kama zoba? Nimesema wapi kutongozwa mke wa mtu ni kosa? Unadhani mimi ni mtoto kama wewe? Hapa kuna condition mbili nimeweka. 1. Mtongozaji awe rafiki yangu wa karibu 2. Mke awe mwaminifu na aje kuniambia. Kiboga kitashughulikiwa mpaka utatambaa kama mtoto.
Mkuu umekomaa na maelezo yaleyale muda mrefu,karudie kusoma tena hii thread. Hakuna sehemu wamesema anayemtongoza mke wa mtu ana urafiki na huyo jamaa. Ila huyo mwanamke anafanya kazi muda mrefu na huyo jamaa aliyemtongoza hata kabla hajaolewa na huyo mumewe. Ila kipindi chote hakuwahi kumtongoza ndo kafanya Sasa. Ila huyo mfanyakazi wa kiume na huyo mume wa mtu hawajuani.( Kwa mujibu wa story).
 
Dunia ni pana sana, usimfanyie kisasi mwanaume mwenzako kwa sababu ya ujinga wa mwanamke.
Umelipa kisasi, naye akilipa? Utajikuta umeishia pabaya kuliko hata huyo uliyemuwekea chupa
Nimegundua wewe unajisikia vibaya ninaposema hivyo kwa sababu au wewe ni wale watu ambao ndoa ni kitu cha casual sana na mwenz wako anaweza kutembeza huko na wewe ukatembeza huko bila kuwa na hisia zozote. Kunajamaa najua yuko hivyo, wao wanachojali ni watzae watoto tu. Umekulia Uswazi bila shaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom