BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,284
Kiburi mtindo mmoja!!!! :angry: Kuna haja gani basi ya kumuajiri huyu na kumlipa mshahara na marupurupu chungu nzima ikiwa hawezi hata kutwambia Watanzania kile tunachotaka kukijua ndani ya Wizara yake. Hivi kila Mtanzania ambaye anafuatilia kwa karibu hili sakata la Richmond/Dowans akiamua kwenda kule Brela ili kujua hao wamiliki wa Dowans ni akina nani si itakuwa kasheshe ya hali ya juu? Kama kazi imemshinda huyu Ngeleja ni bora abwage manyanga na siyo kuonyesha kiburi kwa walipa kodi wanaolipa mshahara wake.