Mdau yupi anapinga mswada wa habari na kwa hoja zipi?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,368
Habari wakuu?.

Baada ya kufatilia MIJADALA mbalimbali yausuyo mswada wa habari ninayo machache ambayo ningependa kwa leo niyaseme na labda niwe wazi kuwa chanzo cha mjadara huu au MSINGI wa mjadala uu ni kikao changu kisicho rasimi kati yangu na Mkurugenzi wa jamii furom ambaye nisinge penda nimtaje, pamoja Mh Mbunge wa jimbo la kigamboni Ndugu Dakitari Ndungulire,(mniwie radhi kama ntakuwa nimekosea jina), katika kikao kisicho rasimi, Mbunge alitaka kujua mawazo ya wadau wa habari ni yapi? nadhani Mh Mbunge ameshakutana na wadau wengine, na leo kwa kuwa ilikuwa ni siku ya kufunga Program ya Tushirikishane, katika jimbo lake akaona si haba, pale anapokutana na wadau wa habari akataka kujua ni kipi kizuri na kibaya katika mswada ule? mimi sito sema nimemtajia baya gani na zuri gani maana si mantiki ya makala yangu,

Pmaoja ya kwamba nilichelewa kujisogeza katika kajikao ka kushutukiza nilikuta naweza kuchota walau kakitu kidogo ambako mimi kameniachia maswali ambayo ninge penda tuulizane kwa ufupi na tjiulize kama upo katika kundi fulani je umeshirikishwa katika mswada wa habari?
nadhani uwezi kujiuliza kama ujajijua, sasa WEWE ni mdau yupi kati ya hawa wa habari ambao mlirengwa na mswada wa habari kimjadala?

(a) Mmiliki wa chombo cha habari;(hasiye na weredi dhidi ya habari?.)(au mwenye weredi)
(b) Mwandishi wa habari( je mwandishi wa habari ni nani?) (i)AMACHA AU (ii)HASIYE AMACHA?

(c) Hadhira/ mwananchi ambae ni mlaji wa chakula kilichopikwa na wana b(i) au (ii).je huyu ula chakula kilichosahihi kwa kiasi gani? kwa wakati gani na chenye virutubisho kiasi gani kwa afya ya taifa lake?

MWANZO!

Ninaitaji kidogo kujadili na kuonesha wadau tulio nao wengi na hasa nikilenga kuoehs ani akina nani wanataka mswada wa habari uongezewe muda na kwa masilai ya nani? kwa sababu za malumbano mazito ambayo yanaendelea nchini, malumbano ambayo kwa sasa yanageuzwa malumbano ya wadau wa habri na viongozi wetu, kumbe yawekezekana watajwa kuwa wewe umdau unae tajwa kumbe wala hujawai kuona mswada wenyewe ila umekuwa ukiiskia tu.

(a) Mmiliki wa chombo cha habari, huyu ni mdau mkubwa sana katika kuhakikisha chombo cha habari kinakuwepo, yeye ndiye mmiliki, msimamizi mkuu, kwa Tanzania wamiliki wengi wa vyombo hivi sio weredi wa habari ila kwa asilimia 50% uchangia ni nini kiandikwe na vyombo vya habari VYAO. kupia MEDIA policy, mfano Gazeti la mwanahalisi miaka iliyopita nikiwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza nilikwenda kufanya utafiti, ili kuweza kuitimu shahada yangu, pale wao POLICY yao kipindi kile ilikuwa inapinga kumwandika MH Rais msatu, Kikwete kumuita Mh! YANI ALITAKIWA aandikwe kama tunavyo weza kumwamndika nudgu sifileo kuwa sifi leo kafa leo, na kwa Mh Kikwete mathalani mwandishi wa habari kutoka chombo kile hakuitakiwa kumuhita Mh, ili nadhani ni jambo ambalo linaitaji mdajara mpana dhidi ya media policy kwani media nyingi zina policy za ovyo mno.
kwa ili naweza nisieleweke vyema, kwa sababu vyombo vyetu vimejawa na wanahabari Kasuku, ujikuta wanakubari kukiuka misingi ya weredi/ mila na desturi zetu, zao kwa sababu ya kuogopa kufkuzwa, ni kwa vyombo vichache nchini vinamilikiwa na wanahabri nchini, mfano mzuri ni GAZETI LA JAMHURI, ambalo Komredi Balire yeye ndiye mkurugenzi mkuu mtendaji nina hakika ni mweredi wa habar, walio chini yake sijui na sina hakika, ila ninacho amini si chombo chenye watu wote wenye weredi stahiki. na sjui kama kweli barile amekaa na watumishi wake na kujadili mswada wa habari? ila kama amezungukwa na AMACHA silaumu maana hata kama angekaa nao bado angekuwa antwanga maji kwenye KINU. sjajua media policy yake ikoje ila nitafanya tafti.

PILI ukifatilia katika mswada wa habari utangundua kuwa mmilikiwa Barile WA chombo iki yeye ni miongoni mwa wadau wanao omba kuongezewa muda ili waweze kuendelea kuujadili mswada,kama ameshindwa kuujadili na alio nao ofisini kwake ataujadili na nani na lini? mimi binafsi ninmpinga MTU huyu na jopo lao wote na kama imani yangu inavyonituma lazima kuna kitu mtu huyu anakitafta, kati ya (1) kutengeneza mazingira ya kutaka kuomba msaada wa mswada ulegeze mashariti ya nani atastaili kuwa mwanahabari hapo baada ya mswada kupita na kuunda bodi ya utambulishi wa yupi anafaa kuwa mwanahabari. mimi nadhani atakutana na sekeseke ya ongezeko la operation cost.

Mdau huyu anakofia mbili, ni mmiliki wa chombo na mwanahabari haiwezekani mtu huyu mmoja akubali kitu kinacho lenga kumnemesha Amacha au hasye amacha ambae amekuwa akimnyonya

pili mdau huyu, na wenzake wanataka waonegezewe muda, hivi uu mswada una upya gani? ulitungwa lini? kwa nini jukwaa la wahirir nchini hamkutafuta wanasheria wakapitia mswada uu tangu mapema? hiki hakikuwa kipindi cha kuomba POO, kilikuwa kipindi cha nyinyi kupitia jopo la wanasheria kuwakilisha kile ambacho mlisha kiandaa, ambacho kingeuonesha udhaifu wa mswada uu, sio kuomba POO.kwa kuupinga au kuomba POO.(Katika ili nimejifunza kuwa jukwaa langu pendwa ni mjumuiko wa wamiliki walio Amacha na wanahabari AMACHA na wasio Amacha, ILA ninaisi Amacha anaweza kuwa na nguvu ndio maana anashikiza kuombwa POO, na si kuboresha au kupinga kwa hoja nzuri ambazo zinastaili kuingizwa kwenye mdwada uu!

TUmepiga sana kelele, mswada wa habari , mswada wa habri unawakilishwa mnaomba POO?
PENGINE Niongezee mfano wa pili ili niweze kuelweka vyema maana mfano mmoja hautoshi kulisha adhira yangu( natamani msomaji wangu unielewe vyema) Hivi MMILIKI WA MWANAHALISI, Mh Kubenea ingawa si mwanaweredi wa habari unadhani atakubalianna na mswada huu?(ni mmiliki mtoa ajira kwa AMACHA, mmiliki na mtumishi wa fani kiuzoefu(kidhanifu) na si kiweredi(kiyakifu).Je anaweza kukubali mswada uu kwa uelewa upi dhidi ya sheria na habari nchini?kuandika sio tija tija ni kusomea tasnia usika na kuifanyia kazi, ili linaleta ufanisi katika utendaji na ujadiliji wa miswada ya namna hii katika taifa letu. hapo juu nimegusia hapo kuwa wamiliki wa vyombo vya habari wanachingia asilimia kubwa dhidi ya nini kiandikwe ili hali si mwanaweredi usika.
ninajaribu kutolea mifano ya vyombo hivi kwani nikili wazi kuwa ni vyombo ambavyo vimekuwa vikiaminika kwa kiwango kidogo lakini pia ni vyombo vinavyomilikiwa na wanahabri kiweredi(kiyakinifu)na wasio weredi(wadhanifu) kupitia vyombo vyao hakuna hata mmiliki mmoja aliyeshirikisha wanahabari wake NEWSROOM, kujadili mswada uuu! wote wanaitana na kujadili wao kwa wao alafu wanjitkeza kwenye vyombo vya habari vilivyo jawa watu wanao waona miungu mtu na kupinga au kusema wayasemayo.

Mdau wapili Mwanahabari.(AMACHA)+NON AMACHA!
Huyu nae mimi sidhani kama ameshirikishwa vya kutosha, ili JUKWAA la wahariri, MCT Na wengine hamja watendea haki wanahabari, nina jua kwa nini mme fanya hivyo , sijui kama nijua vyo niko sawa,KUWA vyombo vya habari hapa nchini unakuta mwenye walau shahada ya uhandshi ni mmoja tu na huyo mwenye shahada hana mkataba na mwenye chombo cha habari, walio na mkataba ni wale ambao hata certicate hawana, au wanazo wanapendwa kuitwa AMACHA Journalist, huyu AMACHA wahariri mmemzalau kiasi cha kushindwa kumuita ashiriki udadavuzi wa mswada wa habari walau hata kwenye vyombo vyenu vya habari? ninataka niseme wazi ukitaka kujua utamu wa nilisemalo leo hii, waziri wa habari fanya ziara ya kushutukiza PALE tu Uhuru Media uliza wanahabari waliopo pale ni wangapi wameisha ona hata nakala ya mswada?
Asilimia 90% ya wanahabari walio jaa kwenye vyombo vyetu vya habari ni AMACHA, na ndio wenye mikataba ya kitumwa, wamiliki wengi ni wanyonyaji, kwa kupitia wahariri wao wamekuwa wanyonyaji kwa kuwafanya wanahabari uchwala waliopo NEWS room kuishi kwa kutegemea vibahasha vya KAKI, ili mimi nililipinga na kuperekea kunyimwa kazi na baadhi ya wamiliki miaka iliyopita sasa wakati umefika mmiliki awatimue AMACHA hawa na kuajiri kwa lazima watu wenye weredi.(mswada pita)
Narudia tena kusema vyombo vya hbari vingi, nchini vnaendeshwa na wamiliki wasio weredi na vinatumikiwa na watumishi wasio weredi ilika kwenye masuala mazito kama miswada kama hii ndo ukweli uu unajizihirisha.
kwa ili Mh waziri wa habari kama wanahabari waliopo kwenye vyombo mbalimbali wanaomba POO, ili watafte wasomi wa kisheria wawafafulie basi sina shaka nalo maana unalenga kidgo kuwainua na kuwakandamiza HAPA ni muhimu kujua wapi watakuwa wanakndamizwa na wapi watakuwa wanachekerea.(wiki moja iliyotolewa na kamati kama kungekuwepo na chombo makini cha kuwakutanisha wadau hawa ingetoshwa kuwakutanisha hata kupitia viongozi wao na kutoa maoni yao).ila tufike pahala mdau huyu awe mwana weredi wa tasnia ya habari ili kuepusha hali ya sinto fahamu kama hii!
maana mdau huyu alitakiwa ausishwe tangu mwanzo, mwanzo wa uandishi au utunzi wa mswada hayo yanyosemwa [engine lingeweza kuondolewa mapma au kutolewa maelezo ya kina dhidi ya yote yaliyomo.

(c) Mwananchi/hadhira, Kwa kipindi kirefu vyombo vya habari nchini vimekuwa vikiendeshwa pasipo kufnya utafiti wa dhidi ya nani na kipi hadhira inapenda kula na kwa wakati gani, ukitaka kujua ili angalia vyombo vyetu vya habari vingi vyake vinaendesha programu zinazo fanana, na kwa muda muda mmoja, hii ina aamisha kuwa wamiliki na watumishi wote wanafanya vitu vya kugerezeana, hakuna anae anzisha chombo cha habari na kujikita katika utafiti utakao kijuza chombo hadhira yake inataka kula nini na kwa muda gani?. kwa kuwa hoja yangu ipo katika mswada mppya wa habari nataka kujua kundi ili ni kwa kiasi gani limeshirikishwa katika kutoa maoni yao? wabunge wangapi mpka leo mswada utakapo pelekwa Bungeni wamejiandaa kwenda kuwakilisha MAONI ya wanachi dhidi ya ili? kwa maana wamekutana na wananchi na kuwaeleza maana na msingi wa mswada uuu? mswada uu unawausu watu wote nchini, maana sheria ikitungwa inatungwa sheriaya nchi nzima. kimtazamo wngu ninaona kabsa kutoshikrikishwa kiutoshelevu dhid ya tabaka ili, ni muhimu hadhira kujua ni nini haki zake dhidi ya upatikanaji na utoaji wa habari kwa mwanchi wake.kama wadau nilio waona mkipinga mswada uuu, mnapinga kwa ajili ya hadhira mimi nasema wiki moja iliyotolewa yatosha nyie kuchukua maswali na majibu ya wanachi, kwa ili niwe mkweli nampongeza Mh Dr Ndungurile, kwa kutumia fursa ya kukutana na sisi na kujaribu kudodosa nini tungependa akatusemehe dhidi ya mswada ule pale atakapo pata fursa ya kuchangia Bungeni.(hata kama haikuwa agenda ya kukutana kwetu ila ametumia muda wake na wetu kujadili masuala ya kitaifa, this is a leader we want.'' najua mawazo ya zitto na Nappe Nauye hayakuwa maoni ya wananchi ni maoni yao binafsi ila kuna haja ya wao kujua kuwa kwa sababu tumewachgua hawana budi kwanza kutusemea tuliyo yataka wayaseme alafu mawazo yao badae.)

Mwisho Kabisa nitumie fursa hii, kuushukuru uongozi wa Jamii forum kwa kuja na Agenda Nzuri ya Tushirikishane,kwa kuwa uongozi wa jamii forum ndio mwasisi wa mradi wa Tuhirikishane na kwa kuwa uongozi unajua kuwa kupitia uwanja uuu tunaweza kuchangia mengi dhidi YA tushikishane progaram basi niwasii kwa namna ya pekee, sanaa waelezee PROGRAM hii kupitia JF kwani ni JUKWAA ambalo pamoja na uwepo wa AMACHA, bado weredi wapo wengi sana wanaweza chagiza mafanikio ya mradi uu!

Naitwa sifileo! nikifa leo niitwe Kafa leo!

Naomba kuwakilisha!
 
napata shida kujiuloza maongezi yako na huyo mh mbunge na jf director yalikuwaje maana uwezo wako wa akili unaonesha ushakufa yan unaelewa wazi kuwa wabongo hatupendi habar ndefu afu ww unaeka habar lefu kama hili....kwan hukufundishwa namna ya kufupisha habar
 
Duuuh, Kuandika kiswahili kwako ni majangaaaa!
 
napata shida kujiuloza maongezi yako na huyo mh mbunge na jf director yalikuwaje maana uwezo wako wa akili unaonesha ushakufa yan unaelewa wazi kuwa wabongo hatupendi habar ndefu afu ww unaeka habar lefu kama hili....kwan hukufundishwa namna ya kufupisha habar
WEWE NI AMACHA NILIO WASEMA KWENYE andiko lako sina shida na watu wa nmn yako najua hapa mpo wengi kizazi cha jakaya!
 
Sielewi hata unaongelea nini mpangilio wako ni ovyo ovyo nilitegemea uandike mchango wako au kilichozungumzwa kwenye huo mkutano na Ndungulire wewe unaleta habari za kinjekitile ngware rudi kukajipange upya.
 
Back
Top Bottom