Al Shabaab watoa somo kwa abiria kwenye basi linaloelekea Mandera

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
Kundi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab walitoa mhadhara wa saa mbili kwa abiria waliokuwa kwenye basi lililokuwa likielekea Mandera katika Mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Kenya zikiwanukuu polisi.

Polisi walisema wanamgambo wa al-Shabaab waliokuwa na silaha nzito walisimamisha basi la Al Mukaram kati ya Dabacity na Dimu Hill na kuamuru abiria kushuka.

Walitumia zaidi ya saa mbili kutafuta watu kutoka nje ya basi kama ilivyoripotiwa na Daily Nation.

Gazeti hilo pia liliripoti kuwa kundi lililosimamisha basi hilo lilikuwa limegawanyika katika makundi mawili, ambapo baadhi yao walizungumza na abiria hao kwa lugha ya Kisomali huku wengine wakienda porini kujikinga.

Screenshot_20220627-065146_Facebook.jpg
 
Urafiki wa Kenya na US - mpaka wana kambi za jeshi lao nchini Kenya - hauwasaidii kuangamiza magaidi

Mzungu atakusaidia pampu za visima na vyandarua vya dawa, mengine makubwa utajikwamua mwenyewe

Ni Nyerere na Magufuli peke yao ndio walilielewa hili
 
Ndugu zangu wa EAC mkiona makundi yoyote yanayofanya maangamizi, kuua kuteka nk, siyo kwamba hayafahamiki yalipo, serikali zote zinafaham ni kwamba kwa teknolojia ilipo sasa haiwezekani mtu akajificha alafu hasionekane labda kama anaishi stone age.

Kazi ya satellite ni kubwa sana, ila kinachofanyika ni uhuni tu.
 
Kundi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab walitoa mhadhara wa saa mbili kwa abiria waliokuwa kwenye basi lililokuwa likielekea Mandera katika Mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Kenya zikiwanukuu polisi.

Polisi walisema wanamgambo wa al-Shabaab waliokuwa na silaha nzito walisimamisha basi la Al Mukaram kati ya Dabacity na Dimu Hill na kuamuru abiria kushuka.

Walitumia zaidi ya saa mbili kutafuta watu kutoka nje ya basi kama ilivyoripotiwa na Daily Nation.

Gazeti hilo pia liliripoti kuwa kundi lililosimamisha basi hilo lilikuwa limegawanyika katika makundi mawili, ambapo baadhi yao walizungumza na abiria hao kwa lugha ya Kisomali huku wengine wakienda porini kujikinga.

View attachment 2273914
KENYA mnashindwaje na wavaa makobasi wakati nyie askari wenu wanavaa mabuti?...sisi TZ walijaribu ku2chezea kule mtwara wale jamaa wa islami state,tuliwagonga vyuma mpaka wakakimbilia msumbiji na bado tukawafuata hukohuko,tatizo ninyi ukabila umezidi kiasi kwamba akija askari kabila la mjaluo kumpeleleza mkalenjin kama ameona alshabaab kapita,kuliko aseme bora afe......KENYA bhana!!
 
@Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
hivyo ndio dini inavyotakiwa isambazwe
mtume aling'oka jino
wewe uswali tu upate pepo
kwani pepo ni ya babaako
hakuna pepo ya kuswali
Nani kakwambia alshababu wanasambaza dini au ni waislamu,wale ni wahuni tu kama panyaroad inatakiwa wawahishwe kuzimu maana wanachelewa watatuka bikira zimeisha kule
 
KENYA mnashindwaje na wavaa makobasi wakati nyie askari wenu wanavaa mabuti?...sisi TZ walijaribu ku2chezea kule mtwara wale jamaa wa islami state,tuliwagonga vyuma mpaka wakakimbilia msumbiji na bado tukawafuata hukohuko,tatizo ninyi ukabila umezidi kiasi kwamba akija askari kabila la mjaluo kumpeleleza mkalenjin kama ameona alshabaab kapita,kuliko aseme bora afe......KENYA bhana!!
Kuna wasomali wakenya ndio uwafadhili ndugu zao alishababu Ili kuuwa wakenya asilia.
Ili somalia iwe na amani inatakiwa kufuta kabisa kile kizazi chote pale.
 
mbona hata hapa tanzania wale jamaa wa islamic state,wengi wao walikuwa ni watanzania? kilichofanyika ni upelelezi wa kina kufahamu familia zao,na zifahamika kazi ilianzia hapo!!! mzazi anaminywa mpaka anampigia simu akifika tu anakamatwa,pia huku hauwezi kusajili namba ya simu bila kitambulisho cha taifa,then ata kubadilisha fedha za kigeni hauwezi bila kitambulisho cha taifa,hii ilisaidia sana kwani,hawa jamaa wanapata pesa kutoka ng"ambo na wengi wanaogopa kuchukuliwa kuchukua alama za vidole kwa ivo ufadhili ukapotea automatically,na walikuwa wananunua line mpya wakishatumia kwa kupanga mikakati yao wanatupa,nako wanakwama,wakisema wajaribu kujisajili wakiwasiliana mamlaka ya mawasiliano ya taifa kuna watu wana kazi ya kuditect simu hatarishi na kuanza kuwafuatilia!!!.......so narudia tena tatizo la kenya ni ubaguzi wa kikabila,na idara yenu ya taifa pia ni poor sana kwani nao huko wanabaguana!!!
 
True hii mbinu ya kufatilia simu nayo wangeitumia kwa wale jamaa wa ile pesa tuma namba hii
 
hivyo ndio dini inavyotakiwa isambazwe
mtume aling'oka jino
wewe uswali tu upate pepo
kwani pepo ni ya babaako
hakuna pepo ya kuswali
dah hapo abiria watakubali dini kwa uoga tu. unahubiriwa na mhubiri ameshika MG na mkanda wa risasi unaning'ia?
 
Al-Shababu ni waislamua safi kabisa sema wanamsimamo mkali.
Ni kama Wakristo Walokole Wafia Dini.

Tofauti ni kwamba Wakristo wakiwa na msimamo mkali wa Dini wanakuwa wapole.
Wenzetu wanakuwa wakali sana, hawana mizaha kwenye Dini yao.

Ukijichanganya unachinjwa.
 
Back
Top Bottom